kila la heri arsenal, na imani leo ushindi upo kwetu.
Jitahidini mpunguze zisiwe 5 nyingine, angalao mpigwe hata tatu tuu
hongereni leo mmemleta sanogo kupambana na hii miamba ha ha haaaaanani anapigwa wewe???
Nzi umewacha Manu na kumshabikia Jose?
Arsene sio rahisi kumjibu Jose kwani watu hawatotofautisha nani mwenye wazimu,
Kuna timu zina pesa kutokana na mabilionea wao na kuna timu wamejaribu kuweka mfumo wa mapato kutoka ndani ya club, Jose anajaribu mind game lakini sijui kama ataweza kufika mbali hata kwenye msimu huu inawezekana kutokufika mbali pia
Nani kakuambia tunatolewa UCL...?? Bado tunanafasi...Kwa list ya leo sitarajii ushindi... tukipata draw inaweza kuwa vizuri ingawaje itatuongezea wingi wa mechi. Kumtoa Bayern ni ndoto ya kutembea juu ya bahari. Kama tutaoa draw afu tucheze na Liver kwao baada ya kuondolewa UCL itakuwa poa tu.
Lazima ufungwe tu!
Una nafasi ya kumfunga bayern kwa mpira huu!!!
kwani bayern ni nani asifungwe? Acha zako wewe, tuna kikosi kizuri sana kinachoweza kucheza na timu yoyote na kikatoa ushindani mkali.