Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Pole kwa kipigo cha jana...
Iiiii napolalaga! Lkn Leo unapigwa Mkuu!
Pole kwa kipigo cha jana...
tuna kikosi kizuri sana kinachoweza kucheza na timu yoyote na kikatoa ushindani mkali.
Arifu, Wenger ndiye kalianzisha, huku akifahamu Maureen ana mdomo wenye maneno ya shombo!
Unaambiwa ukiwa na nyumba yenye vioo, husipende kurusha mawe kwa majirani zako.
Nani kakuambia tunatolewa UCL...?? Bado tunanafasi...
Pamoja wakubwa.....leo sitachangia sana nawatch tu
Kweli. Mnaweza kutoa ushindani. Lakini hilo haliwazuii kupokea kipigo toka kwa watabe wa Bavaria.
Nimeshawaambia humu kwamba, Arsenal ikishinda UCL, naacha kushabikia Man United.
Mechi Kama Hizi Ni Kama Mazoez Kwa Liver Sisi Tumeweka Kipaumbele Kwenye Ligi. Tunawaachia Na Nyie Kidogo Mfurah
Kwa list ya leo sitarajii ushindi... tukipata draw inaweza kuwa vizuri ingawaje itatuongezea wingi wa mechi. Kumtoa Bayern ni ndoto ya kutembea juu ya bahari. Kama tutaoa draw afu tucheze na Liver kwao baada ya kuondolewa UCL itakuwa poa tu.
Hakuna sehemu niliyosema kuwa definately tutatolewa nimemaanisha kumtoa Bayern ni vigumu. Sijui kama kiswahili ni lugha yako ya 10 au ya kwanza. Nakubali bado tuna nafasi lakini pia tukubali tofauti ya uwezo uliopo kati ya Arsenal na Bayern
Sasa kama Wenger ni failure na sisi wana Arsenal tumeridhika ni kipi kinawauma wewe na Mourinho?.....Nafasi ya 7 katika EPL. FA na LC sipo.
Lakini hilo haliondoi ukweli kwamba Arsene Wenger ni specialist in failure. To put it more clearer, Wenger is a Professsor of Failureology.
Wanna more credentials on Wenger's specialisation? Just visit Nobel Prize's website, as Wenger is amongst the shortlisted candidates for next year's prize.