Taratibu dada....!! Sikutegemea kama una hasira hivyoSijapata kuona wachezaji wapumbavu tokea nimeipenda Arsenal kama Girou na Bendtner...yaani kama ningekuwa pale uwanjani alafu ninabastola basi ningemtungua Girou risasi ya kichwa...Benditner na Girou ni zaidi ya mizigo kwa Arsenal
Sijapata kuona wachezaji wapumbavu tokea nimeipenda Arsenal kama Girou na Bendtner...yaani kama ningekuwa pale uwanjani alafu ninabastola basi ningemtungua Girou risasi ya kichwa...Benditner na Girou ni zaidi ya mizigo kwa Arsenal
Pole sn!
Taratibu dada....!! Sikutegemea kama una hasira hivyo
Mkuu,mimi ni ME na siyo KE...kiukweli Girou anakera hadi basi! yaani lichezaji halina ball control wala stamina yaani lipo lipo tu kama gari bovu. Nakuhakikishia kama game hii leo angekuwapo Podosinki na Walcott basi tusingekosa ushindi.
Mkuu,mimi ni ME na siyo KE...kiukweli Girou anakera hadi basi! yaani lichezaji halina ball control wala stamina yaani lipo lipo tu kama gari bovu. Nakuhakikishia kama game hii leo angekuwapo Podosinki na Walcott basi tusingekosa ushindi.
Mkuu,mimi ni ME na siyo KE...kiukweli Girou anakera hadi basi! yaani lichezaji halina ball control wala stamina yaani lipo lipo tu kama gari bovu. Nakuhakikishia kama game hii leo angekuwapo Podosinki na Walcott basi tusingekosa ushindi.
Yaani haiingii akilini Manchester hii ambayo timu kama Stoke city na Fulham wameigeuza kichwa cha mwendawazimu kwa kujifunzia kunyoa eti inakutana na timu mzuri kama Arsenal tena tupo nyumbani alafu tunadroo!!? Kweli hii ni haki?Tunamiss sana Enzi za Akina T.Henry,Wiltord,Pires n.k
Hv huyu Wenger si kocha mzoefu kwani haoni tofauti ya washambuliaji hawa sasa na wale wa Enzi za mafanikio??
Yaani Tungepata Mshambuliaji 1 tu wa uhakika hizi Points tunazodondosha kijinga tungezipata.
Naona hata midfielders wamechoka kutengeneza nafasi zisizotumiwa na Giroud.....
Mkuu,kubali au ukatae safari yetu sisi kwenye Champions league inakuja kumalizwa au kukatizwa na Bayern Munich.Hii mechi ya leo Imekera kuliko ya Liverpool....mkuu hata hao akina Podolski,Bendtner hawana tofauti na Giroud....
Hatuna foward wa maana yeyote waliopo ni wakupeleka Crystal Palace huko...
Ngoja tukamilishe Ratiba Next week na Bayern...
Tutawagonga msimu ujao tukiwa na Suarez badala ya donkey Giroud, timu yao haitavuta mastar wa kutumainika kwa kukosa CL
Tunamiss sana Enzi za Akina T.Henry,Wiltord,Pires n.k
Hv huyu Wenger si kocha mzoefu kwani haoni tofauti ya washambuliaji hawa sasa na wale wa Enzi za mafanikio?
Yaani haiingii akilini Manchester hii ambayo timu kama Stoke city na Fulham wameigeuza kichwa cha mwendawazimu kwa kujifunzia kunyoa eti inakutana na timu mzuri kama Arsenal tena tupo nyumbani alafu tunadroo!!? Kweli hii ni haki?
Kwa upuuzi huu ubingwa tutaendelea kuusikia na kuusubiria hadi masiyah aka Jesus atakaporudi Duniani(kama ni kweli)
Hiyo theory yako haina substance! Kwani nimeshakueleza na kukupa mfano wa jinsi timu ambazo hazikuwa kwenye UCL, lakini zikapata wachezaji wakali. Nakupa tena mifano:
1. Suarez kwenda Loserfools,
2. Toure, Silva, Dzeko, Aguero n.k. kwenda Shitty,
3. Falcao kwenda Monaco,
4. Moura, Ibra n.k. kwenda PSG.
Arifu, mpira ni pesa siku hizi....kama pesa ipo wachezaji wakali utawapata tu...
LOL Man utd hamna pesa bana angalia revenue ilivyoanguka na inavyozidi kuanguka siku zinapozidi. Mnazidi kupoteza market kwa spidi ya Duma (cheeter), Market ya Far east ndo hivyo tena inachukuliwa na Arsenal kama Study za university moja huko UK inavyoonyesha. Afu hizo timu ulizozitaja zina pesa za mafuta toka uarabuni na urusi nyie pesa inatoka ktk kuuza tiketi na bidhaa ambazo ndo hivyo tena glory hunters wa Far East na America wanazidi kuwatosa . Kina Glazers wanazidi kufilisikika timu zao haziingizi pesa ,Tampa Bay Buccaneers nasikia inakaribia kuuzwa bado nyie kwa Mchina.
PS. naona hii issue ya kukosa nafasi ya UCL inakuuma sana, maana kila nkiongelea unakuja na hiki kigezo. Piga moyo konde kaka kuna siku Man utd ndo imeshatia nanga katika nafasi ya Moyes (mid-table manager) angalia historia yake, nothing but a banter.