Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilisema hapa kuwa hata kama Man U itakuwa mbovu kiasi gani ni vigumu sana kufungwa na Arsenal...na kama Man U leo wangekuwa wazuri kama misimu ile mingine basi wangetupiga hata bado sita. Arsenal ni timu yangu na naipenda sana...lakini ukweli ni kwamba Arsenal kwa Man U ni kama mbwa kamuona chatu.

Naona Steven Gerad anawapatia Liverpool goli la 3 Fulham 2...inakwenda dk ya 93
 
Inabidi tuwe na match winner!!! kwa sasa hatuna mtu anayeweza kufanya maajabu mambo yanapokuwa magumu!!
 
Tutawagonga msimu ujao tukiwa na Suarez badala ya donkey Giroud, timu yao haitavuta mastar wa kutumainika kwa kukosa CL
 
Back
Top Bottom