Mechi ya Arsenal Vs Man Utd huwa haitabiriki......Lolote laweza kutokea...Leo man u lazima wagongwe na manyigu.
Mechi ya Arsenal Vs Man Utd huwa haitabiriki......Lolote laweza kutokea...
Cha msingi ni kusubiri dakika 90 Chifu.....
hawa manyoo leo ni kipigo tu,wajipigie stoke city alafu sie tuwaache!weweee utani huo
Nyie ni vibonde wetu Mr Bean anafahamu hilo
Tulia wewe kalale
Y not Podolski...y??? Ndo maana kwa leo naombea mfungwe tu. #tumechoka
Mechi ya Arsenal Vs Man Utd huwa haitabiriki......Lolote laweza kutokea...
Cha msingi ni kusubiri dakika 90 Chifu.....