Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuliwahi kuwapiga N'Castle like this na wakarudi 2nd half!!! Lets see AW if he can do it with his players!!!!!
 
Naamini zitarudi...mnakumbuka hatrick ya Ashavin mwaka 2009 ? Tulitoka 4-4...I still biliv Arsenal can bounce back...stay tuned

Acha kujidanganya Sizinga
1.Siku ile halftime mlikuwa mnaongoza 1-0
2.Today Arshavin is not available,will Giroud score 4 goal?
3.Its half time,Liverpool lead 4-0 and Suarez is yet to score
 
Last edited by a moderator:
Kwa mpira tunaocheza sio rahisi Arsenal kupata hata goli mbili,inawezekana lakini itakuwa maajabu ya epl
Kati tunapocheza mipira rahisi sana na nyuma ndio hivyo hakufai tunaposhindwa kwenye middle timu nzima inakuwa mbovu, na leo hatuna mtu kati
Tuombe yasiongezeke
 
Hahaaaa na sie tupunguze kelele kidogo bhana...Wenger alifanya uzembe sana kutisajili dirisha dogo...Akina Drexler wangetufaa mkuu

Na mkikaa vibaya huu mwezi utawaishia vibaya kwelikweli
 
Maskini Wacha1 sijui kajificha chaka gani....sioni mbwembwe zake leo..., teh khe khe khe ....
 
Last edited by a moderator:
Nlikuwa nimelala kuamka ni 16:11 kucheki matokeo ni unbelievable.....poleni majirani!!!
 
statistic arsenal wamepiga shuti moja golini kwa 10 za Liverpool
bado yapo magoli zaidi
Kwa mpira wa Arsenal leo hata Fulham wanaondoka na ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…