wakuu wa emirates nawatakia sikukuu njema na msheherekee salama na furaha kubwa bila matatizo yoyote pamoja na familia zenu.
nategemea pia wachezaji watatupa zawadi hapo tutakapo kutana na aston villa jumapili.
kila la kheri wakuu mpaka jumapili tutakutana tena jukwaani humu.
Na sisi wageni wenu hatustahili kusherehekea nanyi?
Wenga,Banta,Mbu na wengine wote wa hapa niwatakie Xmas njema na mwaka mpya wenye mafanikio kisoka na niwakaribishe darajani mwakani.
Nawatakia Xmas njema na Heri ya mwaka mpya wa 2010 wanamichezo wote wa humu jamvini JF(Wazee wa Mamn Utd,Chelsea,Liverpool,Tottenham,Man City),Bila kuwasahau wapenzi wote wa EPL,VodaCom Premier League,Ligi ya Zenji,Bundesliga,La Liga,Eredivisie,Ligue 1,Serie A Nn.k,nwatakia mafanikio ninyi binafsi na timu mzipendazo katika mwaka mpya wa 2010...Pamo jah
Heri ya Noeli Gunners wote!! Natumaini tutaendelea taratibu kupeleka maumivu kwa wapinzani, tuanze na Aston villa hapo j2. Msherehekee sana, lakini remember to take care, and drive safely...
MpigaFilimbi, asante sana......vipi Noel kwako, ilienda vyema? Natumaini Mbu, Arsene, BAK, Richard, Balatanda, Next Level, Ngwaza,Radical, Sipo, kweli n.k wamesheherekea vyema huko waliko.......nilisikia kuwa kweli, mbu na Balatanda wapo Iraq, sijui walisherekeaje huko.......tehe
Macho na masikio yetu yapo kesho na hao vijana wa Aston.
sikukuu tumesheherekea salama tunamshukuru mungu.kesho vijana kusema kweli watatupa zawadi kubwa sana wakishinda manake chelsea kashadondosha point 2 tena leo.MpigaFilimbi, asante sana......vipi Noel kwako, ilienda vyema? Natumaini Mbu, Arsene, BAK, Richard, Balatanda, Next Level, Ngwaza,Radical, Sipo, kweli n.k wamesheherekea vyema huko waliko.......nilisikia kuwa kweli, mbu na Balatanda wapo Iraq, sijui walisherekeaje huko.......tehe
Macho na masikio yetu yapo kesho na hao vijana wa Aston.
.......nilisikia kuwa kweli, mbu na Balatanda wapo Iraq, sijui walisherekeaje huko.......tehe
Macho na masikio yetu yapo kesho na hao vijana wa Aston.
-------- --------------------Almunia-------------------
---------------Sagna ------ Gallas ------ Vermaelen ---------Traore-----------
------ -------------------------Song-----------------------
---------- -----Fabregas-----------------------------------Denilson-------
--------------Eboue/Walcott ---------------------------- Arshavin
---------------------------------Eduardo--------------------------
Ni kikosi kizuri sana hata kama Fabregas kuwa nje ni maumivu kwetu lakini kushinda game hii ni muhimu sana
Unajua morali wanayoingia nayo uwanjani wachezaji uwa inatoa picha ya matokeo, tazama kama kilichotokea kwa Simba juzi na mechi ya Yanga waliingia kinyonge na kweli wakatoka kinyonge baada ya 120 minsHabari wakuu!! Nawaona vijana wanaingia uwanjani kwa kujiamini, bila shaka watatafsiri kwa matendo!!
Ndugu BM nashukuru sana ni kweli kuwa nilisherehekea kwa amani kabisa xmass mimi na familia yangu, majirani na rafiki zangu. Naamini hapo kwako ulifanya the same. Sasa nakutakia mwaka mpya wenye fanaka, najua ushindi wa Arsenal leo utanogesha sherehe za mwisho na mwanzo wa mwakaMpigaFilimbi, asante sana......vipi Noel kwako, ilienda vyema? Natumaini Mbu, Arsene, BAK, Richard, Balatanda, Next Level, Ngwaza,Radical, Sipo, kweli n.k wamesheherekea vyema huko waliko.......nilisikia kuwa kweli, mbu na Balatanda wapo Iraq, sijui walisherekeaje huko.......tehe
Macho na masikio yetu yapo kesho na hao vijana wa Aston.
Diaby!?!?!
Diaby ni kijana mzuri so far tatizo tu makosa yake huwa yanaigharimu klabu hasa kwenye mechi muhimu kama hizi. But still nina imani kubwa naye tu leo na anaweza kufanya jambo la muhimu let us wait those 90 minsUsishangae mkuu, last time alicheza vizuri sana, naona Wenger kaamua kuweka imani kwake, so far ameanza vizuri pia leo!!