Happycuit
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 646
- 542
Mechi ya jana kama kungewa na striker mwenye uchu,kipindi cha kwanza tungepata hata magoli matano,ila giroud anaridhika sana akishnda goli 1 tu anarelax,ingekuwa man shit wale wangekula 8 au 9,wenger nunua costa au mandzukc waje kutoa changamoto