Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We mtu wa maneno mengi Ntuzu...Mwambie na Nduguyo Agosti8 Jumapili Mida ya saa moja jioni..Mpatikane kule kwenye jukwaa lenu mtupe Live updates.....

Halafu sie tujifiche kwa sababu ipi?

Mwanangu Yani wala usijali!
agosti 8 na Chivaro tutawapa updates kibao! Yani mshindwe Nyie tu!
 
Last edited by a moderator:
na ndicho kitu ambacho kinaweza kuicost arsenal kwa baadae,kwani idadi ya magoli ni ndogo mno sasa ikitokea wamelingana point na timu nyingine tu imekula kwao!giroud hana changamoto anabweteka mno,kwa kocha kama mourinho angempiga bench dhahiri

Yani nyinyi lazima Mghalimike tu kwa kukosa magoli wafungaji wenyewe Hakuna! Striker butu!

Mnatia huruma sn Nyie!

cc: Katavi Ulimakafu Richard Sizinga
 
Last edited by a moderator:
kuna dalili ndogo kwa dirisha hili la usajili kupata mchezaji, timu nyingi wamekataa mpaka sasa kutowa mchezaji lakini tusubiri
 
All da best arsenal mwaka huu tafadhal sana hakikishen mnatutoa matongotongo mashabik wenu angalao mnyanyue ndoo juu
 
article-2541124-1ABE139500000578-431_634x494.jpg




article-2541124-1ABDFD9400000578-872_634x586.jpg



article-2541124-1ABDFC6500000578-15_306x440.jpg




article-2541124-1ABE19AA00000578-137_306x440.jpg



article-2541124-1ABE359600000578-284_634x451.jpg




article-2541124-1ABB5CD700000578-425_634x427.jpg




No news: Arsenal boss Arsene Wenger says the club are not close
to any transfers as the club announced
a deal with Huawei as the Official Smartphone Partner,
the Arsenal boss is seen here with Mark Mitchinson

 
Vijana walikuwa kwenye mazoezi makali ya kujiandaa na mtanange wa kesho
na Cottagers ... .... ..... ... .Emirates ...
 
Wewe.....!! Nani mwenye tongotongo? Mimi sina tongotongo, nina imani msimu huu hatutoki kapa.


Tongotongo mnazo sn tu! Wenzako mbona wamekubali na wanatamani msimu huu kuinua ndoo?
 
Ha ha ha haaah!! Unanifurahisha sana mtani namna arsenal inavyokunyima usingizi, kutwa kucha umo humu.


Lazima nije niwashushe darini mnako jificha muda wote! Maana kutwa mpo darini mnajificha!

cc: Balantanda bado uko darini Mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom