Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Labda wainue ndoo ya maji.Tongotongo mnazo sn tu! Wenzako mbona wamekubali na wanatamani msimu huu kuinua ndoo?
Labda wainue ndoo ya maji.Tongotongo mnazo sn tu! Wenzako mbona wamekubali na wanatamani msimu huu kuinua ndoo?
Bala Is Always Here..........Lazima nije niwashushe darini mnako jificha muda wote! Maana kutwa mpo darini mnajificha!
cc: Balantanda bado uko darini Mkuu?
Labda wainue ndoo ya maji.
Bado mmelala tu? Njooni muanze kupanga mikakati!
Au bado mko DARINI? ha ha haaaaaa!
Leo ushindi ni kama kawaida
Mbona hamleti mikakati?
Wanaogopa!!!
we subiri majanga yako kesho.