Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tofauti kubwa iliopo leo ni kati ya Christian Benteke na Olivier Giroud, wakti Benteke anashindwa kumiliki mipira ndani ya eneo la Arsenal, mwenzie Giroud anafanya hivyo na akapata goli la pili ndani ya sekunde 59.

Pia Mathieu Flamini kwa upande wa Arsenal amecheza vema na kuilinda vema back four ya Arsenal huku Jack Wilshere akiruhusiwa kwenda mbele na hata kufunga goli la kwanza.

Ozil nae amekuwa busy upande wa kushoto akisaidiana na Serge Gnabry ambae nae amejaribu kwavuruga mabeki wa Aston Villa.

Ila Santiago Cazorla hana siku nzuri leo na amekuwa akipoteza mipira mingi bila sababu na haitakuwa jambo la kushangaza kuona anatoka na nafasi yake kuchukuliwa na Thomas Rosicky.
 
Hivi hawa jamaa watufungaje 3 moja pale Imarati? Possession 70%in favor of gunnerGunnerside
 
A very good analysis!! tupe vitu wengine tunafuatilia online
 
Hivi hawa jamaa watufungaje 3 moja pale Imarati? Possession 70%in favor of gunnerGunnerside

Aston Villa wanaitwa speed merchants yaani wanapenda counter attacking football.

Mechi ya Emirates waliwaruhusu Arsenal kumiliki mpira katika sehemu zote lakini ilikuwa ni counter attack ndio iliowasaidia.

Pia Refa wa mchezo ule aliwasaidia kwa kuwapa penalty ambayo ilikuwa ni controversial.
 
Vlaaa anamwangusha Nacho Monreal ndani ya eneo la hatari la Aston Villa na mwamuzi anapuliza kipenga.

Monreal anaonekana hajaumia sana goti na anaendela na mchezo.
 
Arsenal inabidi waongeze tempo na wafunge magoli mengine mawili kumaliza hii game naona Astona Villa wanaweza kuleta matatizo.
 
Back
Top Bottom