Arsenal inabidi waongeze tempo na wafunge magoli mengine mawili kumaliza hii game naona Astona Villa wanaweza kuleta matatizo.
Wakifunga sawa lakini hawana nafasi ya kushindana kwa magoli na Mancs and Chelsick wanacheza kumiliki ushindi wa point 3 ..... ..... ..... wingi wa magoli wameachiwa Champions elect na media .... .. ...
Ngapi ngapi??
Benteke makes it 2-1...
Cazorla katoa zawadi...
Benteke katuua