Messi + Neymar + Iniesta + Xavi + Villa +Pique + Puyol + Fabregas + Valdes + Sanchez+ Ibrahimovic + Drogba + Muller + Reus +Ribery + Robben + Gomez + Mandzukic +Sweinsteiger + Gotze + Klose + Hernanes +Rooney + Van Persie + Di Natale + Cavani +Lewandowski + Lahm + Hulk + Eto'o + Hazard+ Balotelli + Ronaldo + Torres + Aguero + Tevez + ElShaarawy + Lampard + Oscar + Essien + DeBruyne + Van Ginkel + Schurrle + Ramires +Obi Mikel + Čech + Azpilicueta + Terry +David Luiz + Cole + Ivanovic + Cahill +Ferdinand + Vidic + Kagawa + Lloris + Defoe +Adebayor + Dembele + Giggs + Valencia +Falcao + Pedro + Soldado + Paulinho +Vertonghen + Fellaini + Neuer + Maicon +Milito + Guarin + Zanetti + Palacio +Fernandinho + Willian + Hart + Tiago Silva +David Silva + Negredo + Jovetic + Yaya Toure+ Sturridge + Mignolet + Agger + Coutinho +Reina + Cazorla + Giroud + Walcott + Lavezzi+ Lucas Moura + Gundogan + Hummels +Subotic + Mkhitaryan + Blaszczykowski +Podolski + Wilshere + Moutinho + Suarez +Nani + Nasri + Mata + Verratti + Kompany +Evra + Pastore + Snejider + Pirlo + Boateng +Marchisio + Chiellini + Pogba + Hamsik +Buffon + Candreva + Handanovic + De Rossi +Totti + Lamela + Eriksen + Robinho +Llorente + Vidal + Diego Costa + Navas +Busquets + Song + Mascherano + Dani Alves+ Jordi Alba = LORD BENDTNER
FA Draw.....
Arsenal Vs Coventry City
At Emirates Stadium.
COYG.....!
Baada ya kupita kwa Mtani wetu naona tumepangiwa na nafuu kidogo
BREAKING NEWS
Wakuu,
Theo Walcott ameumia sana goti na Arsenal jioni hii wamesema kwamba jeraha ni kubwa mno na litachukua hadi miezi sita kupona.
Hali aliyokuwa nayo alipokuwa akitolewa kwa machela ile siku ya jumamosi alipoonyesha tabasamu, haikutarajiwa na wapenzi wote kwamba Theo ameumia kiasi hicho.
Kwa hali hii sasa ni wazi kwamba Arsenal inakamilisha usajili wa wachezaji wawili au hata watatu ili kujiimarisha zaidi.
Theo Walcott pia hataweza kucheza kwenye fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwezi June mwaka huu.
Mkuu hatuhitaji wachezaji wawili..tunahitaji mmoja tu..CF kwani ujue kwenye wings kunazibika na Oxlade na Gnabry keshakomaa..issue ingekuwa mbaya au itakuwa mbaya siku OLIVIER GIROUD akiumia km hivi na hatuna mtu kushamili mikiki mikiki ya pale kati kama yeye...pia hili linaongeza kununua kuongeza depth kuwa ni MUST tena hakuna jinsi..kwa mfumo wetu wa 4-2-3-1 hata Rosicky na Santi huwa unawaona walitokea pembeni...mida flani mi sioni cha kuogopa hapo..tumtakie apone upesi na aliwahi kombe la dunia baas..
Amecheza sana na hiyo ni fatigue.
Ni kweli usemavyo Oxlade na Gnabry wanaweza kujaza nafasi.
Wenger huenda akaenda kwa Mandzukic kwani Bayern tayari wanae Lewandowski hivyo kumfanya Manduzikic akae bench.
Kama si hivyo basi tunaenda Athletico Madrid na wanataka 32milions kwa Mbrazil Diego Costa.
Deal la Costa nalo ni gumu kwakuwa kuna recordsnyingi inatakiwa aziweke pale AM coz ndio mpachika mabao mkubwa pale clubuni till now...bt let'shope everythingwill be smoothfineInatakiwa hii week end tuwe tumeziba pengo jumatatu tunaingia kwenye league tukiwa NA striker mpya Diego Costa Ni kila kitu pale.... otherwise tunamwombea Theo kupona haraka... lningetamani kumwona Brazil asee
Amecheza sana na hiyo ni fatigue.
Ni kweli usemavyo Oxlade na Gnabry wanaweza kujaza nafasi.
Wenger huenda akaenda kwa Mandzukic kwani Bayern tayari wanae Lewandowski hivyo kumfanya Manduzikic akae bench.
Kama si hivyo basi tunaenda Athletico Madrid na wanataka 32milions kwa Mbrazil Diego Costa.
BREAKING NEWS
Wakuu,
Theo Walcott ameumia sana goti na Arsenal jioni hii wamesema kwamba jeraha ni kubwa mno na litachukua hadi miezi sita kupona.
Hali aliyokuwa nayo alipokuwa akitolewa kwa machela ile siku ya jumamosi alipoonyesha tabasamu, haikutarajiwa na wapenzi wote kwamba Theo ameumia kiasi hicho.
Theo Walcott
Kwa hali hii sasa ni wazi kwamba Arsenal inakamilisha usajili wa wachezaji wawili au hata watatu ili kujiimarisha zaidi.
Theo Walcott pia hataweza kucheza kwenye fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwezi June mwaka huu.
Wacha 1
Umeona Frimpong alivyoandika kwenye instagram na picha ya Moyes?