Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hahaaaaaaa............Ngoja tuone mpaka mwisho wa mchezo....Balantanda
usipige kelele darajani hakuvukiki mida hii maji yameingia ruba
Naona wamechomoa.......
Hahaaaaaaa............Ngoja tuone mpaka mwisho wa mchezo....Balantanda
usipige kelele darajani hakuvukiki mida hii maji yameingia ruba
Huwa hawaonekani jukwaani kwao siku wanapocheza......Ila kutwa kucha wapo hapa...kweli wamechomoa tusubiri gemu imalize
kule kwao naona kupo kimya leo
Hii game ya Liver na Chelsea ni bora iishe kwa sare.....Itakuwa nafuu kwetu
Ukweli ni kwamba hakuna mashabiki ambao huwa wanaangalia game kwa raha kama wa Arsenal...Ndio maana utaona siku Arsenal ikicheza mashabiki wake tunakuwemo humu kwa muda wote, tuwe tumeshinda, tumeshindwa ama tutoke sare.........#WatazoeaTu .
Together We Stand, game ya leo nimeiangalia kimachale kweli...,
Haya, angalau tupumue huku tukieastaajabia Liverpool na Chelski wakiuana.
.....#WatazoeaTu .
Together We Stand, game ya leo nimeiangalia kimachale kweli...,
Haya, angalau tupumue huku tukieastaajabia Liverpool na Chelski wakiuana.
Ukweli ni kwamba hakuna mashabiki ambao huwa wanaangalia game kwa raha kama wa Arsenal...Ndio maana utaona siku Arsenal ikicheza mashabiki wake tunakuwemo humu kwa muda wote, tuwe tumeshinda, tumeshindwa ama tutoke sare....
Na wewe Chifu hauna tofauti na mashabiki wa Arsenal, timu ikicheza muda wote upo jukwaani...Tofauti na wenzako wengi na wale wa darajani...
Sisi mashabiki wa Arsena #TulishazoeaKitambo mkuu....Kazi na kwenu nyie Man Utd ambao si kawaida kula Krismas ama Mwaka mpya mkiwa ndani ya 6.....Lakini #MtazoeaTu chifu...
Naona Chelsea wanaongoza kwa goli 2 sasa...
Hawa Liverpool nao ni #NguvuyasodaTu ......Hawana lolote.....liverpool mdebwedo mpaka sasa,
Myb 2nd half Suarez ata recharge battery....
Sturridge angekuwepo nae pale
Pangekuwa patamu
Ukweli ni kwamba hakuna mashabiki ambao huwa wanaangalia game kwa raha kama wa Arsenal...Ndio maana utaona siku Arsenal ikicheza mashabiki wake tunakuwemo humu kwa muda wote, tuwe tumeshinda, tumeshindwa ama tutoke sare....
Na wewe Chifu hauna tofauti na mashabiki wa Arsenal, timu ikicheza muda wote upo jukwaani...Tofauti na wenzako wengi na wale wa darajani...
Sisi mashabiki wa Arsena #TulishazoeaKitambo mkuu....Kazi na kwenu nyie Man Utd ambao si kawaida kula Krismas ama Mwaka mpya mkiwa ndani ya 6.....Lakini #MtazoeaTu chifu...
Hahaaaaaaaa......Tema mate chini arifu....mbona unasema uongo mchana kweupe? Kuna yule mtu anaitwa BAK yeye uwa na kisingizio eti ana wageni nyumbani..... Wacha1 makelele yeye ndo hata humwoni.....wengine eti ujifanya walikuwa wanafuatilia gemu....siku ile ya kipigo pale OT, palikuwa na ukiwa sana humu.....siku ile ya goli 6 ndio usiseme.......wewe mwenyewe siku moja ulitoa kisingizio eti ulikuwa busy, na akina siye tusio na kazi, tukawa tumeshinda humu gonuni.........
Naona kuwepo kileleni kumekuchanganya hadi unasahau huyo mdudu Mbu naye ni goons!!!
Hahaaaaaaaa......
My bad Chifu....Ukweli ni kwamba majina yenu yanachanganya na nilijua nakuquote wewe kumbe ni Mbu bana.....
Noted............And edited....
Dah....Mashoga yaliyojaa goons??? Cheki hili mojawapo, hadi likapozi kwenye gazeti la mashoga pale Ufaransa.....
Cheki hapa hilo shoga la Arsenal likimbusu Debuchy.......
Olivier Giroud embrasse Mathieu Debuchy après son but contre l'Allemagne 20120229 - YouTube
Wewe Wacha1 makelele, umezoea sana ushoga, naona kila neno, neno ushoga lazime ulitaje......kumbe ndiyo tabia pale goons........