Duuuuhhh zote hizo!!?
Zimeisha
Usisahau hao unawaita mashoga nao walikubanguaGiroud goal puts Gunners on top ... ..... ... ... ... .... ... tumewabangua waliowakwangua Manure ... .... ... ..ooops Mashoga. COYG.
asante babu...Mpira unaisha sasa...
Hongereni sana
Tukiweza Maintain hivi na Next Season Kombe Letu
Tukiweza Maintain hivi na Next Season Kombe Letu
Mertesacker....Kona.....Ujinga huu sasa
Sijaupenda mchezo wa kudefend kagoli kamoja...Umeruhusu mashambulizi mengi na kutuweka roho juu...
Top Manager .... ..
Sijaupenda mchezo wa kudefend kagoli kamoja...Umeruhusu mashambulizi mengi na kutuweka roho juu...