Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger amuweke benchi kama adhabu.

kuwekwa bench haiwez kutokea kw jinsi namjua AW, ijapokuwa pale atakapopata long term injury bench litakuja automaticaly (i thnk vermaelen was a gud example) coz huyu mzee anapokuwa ana iman na m2 huwa ni ngumu kubadilika kw hiyari
 
Game ya j2 ni ngum sana kupita maelezo ila nadhan mzee wenger akifanya rotation kwa watu kama wa 5 au wa 4 nadhani tutashnda. Coz newcastle ana kikosi kidogo ambacho ndo kila siku kinacheza nahisi watakua na fatigue. Kwa watu wa namna hiyo dawa yao ni kuwawekea vibelenge a.k.a mawinga tereza wenye uwezo wa ku score kama walcot na podosky... Halla gunnerz
 

Upo sahihi na kwa mechi hii binafsi nadhan ni vyema Flamin akaanza samba na Arteta ukizingatia kuwa kuna habari kuwa Cheikh Tiote is back na huyu mtu anatumia sana nguvu so Flamin ana umuhimu wake. Na pia Good news ni kwamba Jack kamaliza adhabu yake hivyo anaweza kuanza, Mchezaji mwingine wa speed ni Rosisky ambaye mech ya katikati ya wiki hakucheza na nadhani Prof aliamua kumpunzisha makusudi kutokana na umri wake hivyo uwepo wake hata kwa kuanzia benchi utasaidia saana mechi hii. All in all Podolsk is also back so hii inaweza kuwa neema though ni ukweli kuwa itakuwa game ngumu.
.... COYG....
 

ningependa mshinde hii game......mkizidiwa pateni hata draw itakuwa matokeo mazuri sana.........
 
X

Kurudi kwa Jack welshire na Tomas Rosisky kunaweza saidia tukapata ushindi.
By the way naona unatuombea ushindi kwa mara ya kwanza ili upate kusogea pale juu.

nishasogea niko nyuma yako 5pts tu nafasi ya sita....sasa cheza upigwe kesho uone kama hujarudi nafasi ya tano baada ya wiki tatu....
 




























Prof alikuwa na vijana Colney kujiandaa na mtanange wa kesho
kabla ya kutimka na kuelekea kaskazini .... .... .


 



Pod alikuwepo .... ...




Giroud alikuwa akifanya kazi ya ziada
kuhakikisha kesho anakwaa angalau magoli kadhaa.





Kos hayuko mbali kurejea .... ..... .COYG
 
nishasogea niko nyuma yako 5pts tu nafasi ya sita....sasa cheza upigwe kesho uone kama hujarudi nafasi ya tano baada ya wiki tatu....

Points 5 hizo mbona si mara ya kwanza kuzifikia! Maana uliwahi kufikia gape la 5 points lakini ukaanza kutiririka zikafika 7, 9, 11 mpaka kwingine huko sijui ni ngapi ulifikia maana niliacha hadi kufuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…