Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

dadeq me naona giroud hamna kitu kabisa anakosa magoli ambayo hata ukimuweka mtoto wa chekechea akafunge ataweza lakini giroud anakosa
anasababisha tukose ushindi huyu bata
bora apelekwe tu kwa mkopo hata ashanti ya ilala make akija hata yanga hapati namba sijui profesa wenger anampanga kwa sababu gani bora hata acheze sagna namba 9 kuliko huyu kichuguu
 
Bora aumie tu akae benchi
 
Back
Top Bottom