Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

leo ni leo, ikifika kesho itakuwa kishafahamika.......COYG

ImageUploadedByJamiiForums1387807846.526031.jpg
 
#Mburukenge wamezuka mtaani kwa wingi sana dah!!!! Chelseawetu tu leo na itakuwa poa sana kama Walcott ataanza maana aongeza speed kwenye mashambulizi na hivyo kuhakikisha tunapata goli za haraka haraka mapema.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Habari wakuu Gunners mambo nieje?

Leo ndio leo na mtanange karibu unaanza, na naona mvua ni kubwa kuliko ikiambatana na upepo mkali uendao kasi ya miles 80 kwa saa, ni balaa.

Nasikia mzee Wenger anakusudia kuchezesha timu ambayo ni kama ifuatavyo.

Arsenal first X1;

Kipa ni Szczesny, mabeki Bacary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker.

Wachezaji wa kiungo; Mikael Arteta, Aaron Ramsey, Santiago Cazorla na Mesut Ozil ambae atakuwa akicheza upande wa ndani kulia na mbele ni Olivier Giroud.

Bench kuna Fabianski, Ginabry, Nacho Monreal, Thomas Rosicky, Lucas Podolski na Nicklas Bendtner.

COYGS!
 
.....Dahh, #KosTheBoss pengo kubwa sana pale kati.
 
Head to head;

Aaron Ramsey na Ramires

Aaron Ramsey amekuwa katika kipindi muhimu katika uchezaji wake mpira na ingawa katika mechi na Man City alikuwa akirudi sana nyuma bila kutafuta nafasi, leoo anatarajiwa kusaidiana na Cazorla na Ozil kufanya mashambulizi ya mara kwa mara.

Mourinho atakuwa amemwagiza Ramires kuhakikisha anamkabili Ramsey na pia Frank Lampard atakuwa na jukumu la kuhakikisha sehemu ya kiungo ya Arsenal inarudiswa nyuma na kusababisha matatizo kama yale ya Man City.

Wakifanya hivyo Chelsea wanaweza kupata magoli kupitia Ramires au Frank Lampard au hata Eden Hazard kama si kuwapa nafasi Samuel Etto na Fernando Torez.

Vinginevyo kama Aaron Ramsey ataachwa atambe katikati basi kuna uwezekano wa Arsenal kurudia hali ya mechi na Liverpll ambayo tulishinda magoli 2-0.
 
Its Official

Arsenal first X1;

Kipa ni Szczesny, mabeki Bacary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker.

Wachezaji wa kiungo; Mikael Arteta, Aaron Ramsey, Thomas Rosicky na Mesut Ozil ambae atakuwa akicheza upande wa ndani kulia na mbele ni Olivier Giroud.

Hivyo Santi Cazorla anampisha Rosicky ambe ni more effective na anaweza kufungua vyumba kwa haraka zaidi kwenye ngime ya Chelsea.

Chelsea:

Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Mikel, Lampard, Ramires, Willian, Hazard, Torres.
 
Yapozile yakatutu ni yalumendo: ha ha ha ha!
Mkuu Leo Mimi ntaongea kisukuma hapa sn na nyie ndugu zangu Wa liamba Mfipa Mtakimbia!

Obeja sn nkoi! Aaaaaaah! Kweli Leo ipo kazi!

hahahaha wabheja kurumba.
Leo mkuu Ntuzu usijekimbia tena.
 
Back
Top Bottom