Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Akina nani kama ni sisi wadau wa Arsenal hatuna kawaida ya kukimbia jukwaa kama wengine. Tupo hapa hata tukipigwa. Muulize Ntuzu

Nani Akimbie jukwaa Au nyie Ndo mmeshuka Kutoka darini maana nimebisha hodi nkakuta Hakuna mtu!

Jamani mnatia huruma nyie! Mmeanza Kua ndembendembe kabla ya game? Kah !!!!
 
Last edited by a moderator:
hawa si wale timu ushindi ikifungwa anajitia hashangilii..

Hapa wewe tunakesha na hivi nimeamza! Mtakimbia na kuzikana timu zenu nyie wenyewe!

Chezea Chelsea nyie! Subirini muone Kandanda!

November niliwapiga mbili bila hapo hapo Emirates na Leo nawapiga mpk msambaane kabisa Na kuzima ndoto zenu kabisa!

Wewe wewe wewe!
 
Wewe Acha maneno yako Hiyo!

Mkuu Utaanza kuongea kuongea Cha Kwetu muda so mrefu! Unakumbuka Juzi Mjomba wako Mh Pinda alivyobanwa ukataka kumsaidia Kwa kifipa!

Wewe tulia Leo uone Ghala ya silaha inavyopigwa na kuharibiwa!

Pachele pa ng'anda!

tuli ningo yonsi

nitakuwepo hapa utashuhudia mwenyewe.
 
Nani Akimbie jukwaa Au nyie Ndo mmeshuka Kutoka darini maana nimebisha hodi nkakuta Hakuna mtu!

Jamani mnatia huruma nyie! Mmeanza Kua ndembendembe kabla ya game? Kah !!!!
Utameza maneno yako mkuu baada ya mechi.
 
Tena nashukuru Mmeanza kushuka mapema Kutoka darini mlipokua mmejificha na kuanza kuingia kwenye Uzi wenu

Katavi!!!!!
 
Leo tunalifumuafumua daraja............. Ntuzu.
 
Last edited by a moderator:
tuli ningo yonsi

nitakuwepo hapa utashuhudia mwenyewe.

Safi sn ndugu yng

Tuli ningo yonsi__Wabeja sn nkoi!

Mkuu Nataka uwepo Mkuu! Nilisema mpk Jan mtakua nafasi ya 3 sasa mmeona? Mko nafasi ya Ngapi?
 
Leo tunalifumuafumua daraja............. Ntuzu.

Nakwenda kuchukua point 3 zote Emirates!

Yani Leo Ghala ya silaha inavamiwa na kikosi maalum NAVY SEAL teketeza kabisa Ghala yote ya Emirates
 
Last edited by a moderator:
Hapa wewe tunakesha na hivi nimeamza! Mtakimbia na kuzikana timu zenu nyie wenyewe!

Chezea Chelsea nyie! Subirini muone Kandanda!

November niliwapiga mbili bila hapo hapo Emirates na Leo nawapiga mpk msambaane kabisa Na kuzima ndoto zenu kabisa!

Wewe wewe wewe!

Aaaah! Mkuu Ntunzu you have back? Where have you been at the mid of the week?? I was looking for u.
 
Aaaah! Mkuu Ntunzu you have back? Where have you been at the mid of the week?? I was looking for u.

Men..! I'm here always but the mid week was very hard for me! I lost for Sunderland and 2day I want my free three points to Arsenal!
 
Hahahahahaha yapozile yakatutu ni yalumendo.
Atakimbia huyo Ntuzu mkuu kama alivyokimbia katikati ya wiki iliyopita.

Yapozile yakatutu ni yalumendo: ha ha ha ha!
Mkuu Leo Mimi ntaongea kisukuma hapa sn na nyie ndugu zangu Wa liamba Mfipa Mtakimbia!

Obeja sn nkoi! Aaaaaaah! Kweli Leo ipo kazi!
 
Hahahahahaha yapozile yakatutu ni yalumendo.
Atakimbia huyo Ntuzu mkuu kama alivyokimbia katikati ya wiki iliyopita.

i really want u to lose this game.....but i dont see how CHELSEA gonna win this game....
 
i really want u to lose this game.....but i dont see how CHELSEA gonna win this game....

We umetumwa? Eeee? Hizo game zote alizoshinda Chelsea alishinda Vipi?

Tulikuwepo Emirates November tukawapiga watoto goli mbili! Na Leo lazima tuwapige!
Arsenal is going to lose this game!
 
We umetumwa? Eeee? Hizo game zote alizoshinda Chelsea alishinda Vipi?

Tulikuwepo Emirates November tukawapiga watoto goli mbili! Na Leo lazima tuwapige!
Arsenal is going to lose this game!

sawa....yangu macho....
 
Back
Top Bottom