Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Its Official

Arsenal first X1;

Kipa ni Szczesny, mabeki Bacary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker.

Wachezaji wa kiungo; Mikael Arteta, Aaron Ramsey, Thomas Rosicky na Mesut Ozil ambae atakuwa akicheza upande wa ndani kulia na mbele ni Olivier Giroud.

Hivyo Santi Cazorla anampisha Rosicky ambe ni more effective na anaweza kufungua vyumba kwa haraka zaidi kwenye ngime ya Chelsea.

Chelsea:

Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Mikel, Lampard, Ramires, Willian, Hazard, Torres.

Ni habari njema mkuu vp Theo walcolt hayupo sub.
 
Ni habari njema mkuu vp Theo walcolt hayupo sub.

Mkuu Theo yupo hawezi kukosekana na atakuwa upande wa kulia.


Szczesny, mabeki Bacary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker.


Wachezaji wa kiungo; Mikael Arteta, Aaron Ramsey, Theo Walcott,Thomas Rosicky na Mesut Ozil ambae atakuwa akicheza upande wa ndani kulia na mbele ni Olivier Giroud.
 
Mkuu Theo yupo hawezi kukosekana na atakuwa upande wa kulia.


Szczesny, mabeki Bacary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker.


Wachezaji wa kiungo; Mikael Arteta, Aaron Ramsey, Theo Walcott,Thomas Rosicky na Mesut Ozil ambae atakuwa akicheza upande wa ndani kulia na mbele ni Olivier Giroud.

yap nimekipa kikos mkuu sub kuna Fabiansk, Jekson, Flamin, Cazorla, Podosk, Monreal na bendtner.
 
Arsenal.jpg
 
Ufunguo wa Chelsea unategemea uchezaji na kujipanga kwa Mertesacker na Vermaelen na tunaomba hali isiwe kama ya ile mechi na Tottenham ambapo kulikuwa na janga pale kwenye heart ya defence ambapo Vermaelen alikuwa kila mahala.

Mchezaji mwingine ambae naona atakuwa tishio kwa ngome ya Arsenal leo ni Eden Hazard ambae atajaribu kuwatenganisha Mertesacker, Vermaelen na Sagna.

Hivyo akimzuia Sagna aiende mbele basi washambuliaji wa Arsenal watakosa zile cross za Sagna ambe atakuwa akirudi nyuma kumkabili Eden Hazard.

Hivyo leo ndio leo.

Ila tukumbuke kwamba mwamuzi wa leo ni Mike Dean kutoka kijiji cha Wirral.

COYG!
 
Kila la kheri kwa Gunners Tonane baada ya mtanange sasa hivi naenda kufuatilia tukio kwa tukio.
...COYG.....
 
Ni ama kushika kurudi kwenye nafasi ya kwanza au kudondoka kwenda nafasi na nne.

Tafwadhali sana Mike Dean!
 
Mkuu Sizinga,

Unaweza kuwa uko sawa lakini nafikiri Arsenal leo imecheza vizuri zaidi kuliko mechi na Man City.

Tatizo wameshindwa kumtumia vizuri Theo Walcott ambae ana kasi na matokeo yake Chelsea wapo na furaha kwa kuwa sare half time.

Pia mwamuzi Mike Dean amewanyima penalty Arsenal kwa Theo Walcott kukwatuliwa na Julian ndani ya eneo la penalty.

Na pia Chelsea walitakiwa wawe 10 baada ya John Obi Mikel kumpiga kiatu Mikel Arteta angepewa red card.
 
Na Chelsea Mkuu Richard sare ndio wanayoitaka wanajua muziki wa Arsenal hivyo kutoa sare kwao ni kama wamekusanya 3 points.

Mkuu Sizinga,

Unaweza kuwa uko sawa lakini nafikir Arsenal leo imecheza vizuri zaidi kuloko mechi na Man City.

Tatizo wameshindwa kumtumia vizuri Theo Walcott ambae ana kasi na matokeo yake Chelsea wapo na furaha kwa kuwa sare half t
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom