Nakupa mechi ya Leo na ya Chelsea na Newcastle lazima upoteze! Nafasi ya 3 ni yako baba kuanzia Leo!
Naam! Arsenal Au watoto wanapoteza beki wao mahiri Kwa kuumia na Kutoka nje na linabaki lile beki refuuuuuuuuuuuuu kweli Yani Jerumani! Metusaka!!
Nalo litarudi na tunamalizia na la ushindi.
Hatoki mtu katika nafasi ya kwanza....
City tunapiga mtu
Game will over:
Man city 2-0 Arsenal.
Jukwaa la Michezo linavamiwa sasa.... Ni kama ilivyokuwa Jukwaa la SiasaNdio umetoka usingizini?