Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 14, 2013 #29,801 Walcoooooooooooooot 1-1
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 14, 2013 #29,802 Assist ya Mesut Ozil Man City 1-1 Arsenal Game on.....
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Dec 14, 2013 #29,803 Invisible said: Dalili za kufungwa hizo hahahaha Click to expand... hahahaaah!! Hilo goli la Aguero lilinipotezea umakini.
Invisible said: Dalili za kufungwa hizo hahahaha Click to expand... hahahaaah!! Hilo goli la Aguero lilinipotezea umakini.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Dec 14, 2013 #29,804 Ntuzu said: Arsenal wanapata nafasi lkn Hawa watot hawajui wafanye nini! Lalala ni hatari langoni mwa watoto! Utajiju weye na presha yko! Click to expand... Hebu wewe kuwa serious kidogo. Ungekuwa jirani ningekukata makofi....lol.
Ntuzu said: Arsenal wanapata nafasi lkn Hawa watot hawajui wafanye nini! Lalala ni hatari langoni mwa watoto! Utajiju weye na presha yko! Click to expand... Hebu wewe kuwa serious kidogo. Ungekuwa jirani ningekukata makofi....lol.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 14, 2013 #29,805 Uzembe wa Monreal City wanakosa goli la wazi.....Safi sana Per
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 14, 2013 #29,806 Dakika ya 35 Man City 1-1 Arsenal
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Dec 14, 2013 #29,807 Tunaanza kurejea taratibu.
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Dec 14, 2013 #29,808 Katavi said: hahahaaah!! Hilo goli la Aguero lilinipotezea umakini. Click to expand... Naona mambo sasa yamekaa sawa. Leo mnajihakikishia ubingwa mapeeema
Katavi said: hahahaaah!! Hilo goli la Aguero lilinipotezea umakini. Click to expand... Naona mambo sasa yamekaa sawa. Leo mnajihakikishia ubingwa mapeeema
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Dec 14, 2013 #29,809 Ntuzu said: Nasema Ivi! Nakupa mechi 3 kuanzia hii ya Leo lazima uwe nafasi ya 3! Niko hapa jamvini utaniambia! Click to expand... Tatizo lako unaongea sana.! Kwa vigezo gani niwe nafasi ya 3? Mashabiki wa Simba na Yanga utawajua tu!
Ntuzu said: Nasema Ivi! Nakupa mechi 3 kuanzia hii ya Leo lazima uwe nafasi ya 3! Niko hapa jamvini utaniambia! Click to expand... Tatizo lako unaongea sana.! Kwa vigezo gani niwe nafasi ya 3? Mashabiki wa Simba na Yanga utawajua tu!
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Dec 14, 2013 #29,810 Naam! Naam! Naam! Naona Hali ya watoto sasa wameanza Kua na nguvu km wamekunywa Uji Wa mgonjwa na kupindua matokeo ndani ya Etihad
Naam! Naam! Naam! Naona Hali ya watoto sasa wameanza Kua na nguvu km wamekunywa Uji Wa mgonjwa na kupindua matokeo ndani ya Etihad
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Dec 14, 2013 #29,811 Siku ya kufa nyani miti yote telezaaaaaa! Goli la pili Kwa City!
mnyepe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2008 Posts 1,907 Reaction score 660 Dec 14, 2013 #29,812 Negredooooo
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Dec 14, 2013 #29,813 genekai said: Tatizo lako unaongea sana.! Kwa vigezo gani niwe nafasi ya 3? Mashabiki wa Simba na Yanga utawajua tu! Click to expand... Mkuu genekai huyo jamaa achana naye, yeye yupo kutafutia wapenzi wa arsenal ban. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
genekai said: Tatizo lako unaongea sana.! Kwa vigezo gani niwe nafasi ya 3? Mashabiki wa Simba na Yanga utawajua tu! Click to expand... Mkuu genekai huyo jamaa achana naye, yeye yupo kutafutia wapenzi wa arsenal ban.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Dec 14, 2013 #29,814 Ntuzu said: Siku ya kufa nyani miti yote telezaaaaaa! Goli la pili Kwa City! Click to expand... Nalo litarudi na tunamalizia na la ushindi.
Ntuzu said: Siku ya kufa nyani miti yote telezaaaaaa! Goli la pili Kwa City! Click to expand... Nalo litarudi na tunamalizia na la ushindi.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 14, 2013 #29,815 Mabeki wa Arsenal wanajichanganya hapa Negredoooooooo Dakika ya 39 Man City 2-1 Arsenal
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 14, 2013 #29,816 Koscielny ameumia vibaya, anatolewa anaingia TV5 Dakika ya 40 Man City 2-1 Arsenal
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Dec 14, 2013 #29,817 genekai said: Tatizo lako unaongea sana.! Kwa vigezo gani niwe nafasi ya 3? Mashabiki wa Simba na Yanga utawajua tu! Click to expand... Nakupa mechi ya Leo na ya Chelsea na Newcastle lazima upoteze! Nafasi ya 3 ni yako baba kuanzia Leo! Naam! Arsenal Au watoto wanapoteza beki wao mahiri Kwa kuumia na Kutoka nje na linabaki lile beki refuuuuuuuuuuuuu kweli Yani Jerumani! Metusaka!!
genekai said: Tatizo lako unaongea sana.! Kwa vigezo gani niwe nafasi ya 3? Mashabiki wa Simba na Yanga utawajua tu! Click to expand... Nakupa mechi ya Leo na ya Chelsea na Newcastle lazima upoteze! Nafasi ya 3 ni yako baba kuanzia Leo! Naam! Arsenal Au watoto wanapoteza beki wao mahiri Kwa kuumia na Kutoka nje na linabaki lile beki refuuuuuuuuuuuuu kweli Yani Jerumani! Metusaka!!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 14, 2013 #29,818 City wanashambulia...... Arsenal wana Counter attack....Demichellis anaokoa
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 14, 2013 #29,819 Dakika ya 45 Man City 2-1 Arsenal Dakika 4 za nyongeza
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 14, 2013 #29,820 Kona kuelekea lango la Arsenal Demichellis' free header.....Goal kick