Tumekuwa wapili kwenye Kundi....Ishakuwa ngumu hii aisee
Mkuu Hilo sio tusi bana Lakini ucjari silitumii tena
Narudia kusema kuwa EPL msimu huu ni ya Arsenal, mbona hamuelewi?
Kusema kweli Arsenal tumeanza kushuka kiwango,huyu babu aache ubahili asajili wachezaji wenye kiwango.alimwacha Higuian leo ametufunga.
Wikendi tunampiga Manchester City then tunaweka gap kubwa ya points, Chelsea hatusumbui sana naye tutampiga nina imani hiyoKauli yako ni ya kuomba Rehema za watu!
Aya tumekusikia
mkuu unapenda sana kutufedhehesha bana, ila tupo pamoja huu ni ushangiliaji tu wa mpira hauna uhasama wala chuki
Wikendi tunampiga Manchester City then tunaweka gap kubwa ya points, Chelsea hatusumbui sana naye tutampiga nina imani hiyo
Katufunga then what?? Angekuwa kiwango angesaidia timu kuvuka kwenye hii hatua ya makundi.Kusema kweli Arsenal tumeanza kushuka kiwango,huyu babu aache ubahili asajili wachezaji wenye kiwango.alimwacha Higuian leo ametufunga.
tumequalify..hilo ndilo la msingi...opponents yeyote tutakabiliana nae
Arsenal will play either:
Real Madrid, PSG, Bayern Munich, Atletico Madrid or Barcelona
Huo ugumu wanaweka hawa Pundits lakini inaweza kuwa tena Arsenal wakapangwa na Man Utd au Paris st Germain au Real Madrid, AC Milan na Garatasaray.
Au tukapewa Athletico Madrid, Zenit St Petesburg au Bayern Munich pia.
Tusubiri Jumatatu.
Huo ugumu wanaweka hawa Pundits lakini inaweza kuwa tena Arsenal wakapangwa na Man Utd au Paris st Germain au Real Madrid, AC Milan na Garatasaray.
Au tukapewa Athletico Madrid, Zenit St Petesburg au Bayern Munich pia.
Tusubiri Jumatatu.