Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Mungu ibariki Arsenal na ajaaliye Arsenal ishinde leo na mechi zote zilizobaki na kuchukuwa ubingwa
Mungu ibariki Arsenal na ajaaliye Arsenal ishinde leo na mechi zote zilizobaki na kuchukuwa ubingwa
Kila la heri arsenal
Jumatano tuna kibarua kigumu kiasi. ...naona mancity wameamua kupumzisha kikosi chao na kutuma kikosi dhaifu kwenda kucheza na Beyern MunichThat's good one bro.
Game la leo ni muhimu sana kwa Gunners na point 3 muhimu zinahitajika ili kuendelea kuwa katika sehemu Nzuri.
....COYG...
Umebana Pu.m.bu aiseee...Ok poa tutatoboa tu
ball possession ya Arsenal HAISOMEKI LEO Graph linaonyesha wako below 40%
Last 5 min Possession Arsenal 76 na Everton 24