Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Last 5 min Possession Arsenal 76 na Everton 24
Sawa lakini nasema tena uchoyo wa wachezaji wa Everton ndiyo pekee utakaoweza kuwapotezea mechi leo.

Kila mtu anataka aonekane anaweza kukokota mpira na kupiga mashuti mbuzi badala ya kutengeneza nafasi kwa mshambuliaji wao mmoja lukaku.
 
Asee naona hawa jamaa wamekuja na moto mkali!!

Tatizo wanacheza bila mipango Target arsenal ana 2 wao wana 0 hilo ndio tatizo umaliziaji kwao ni mgumu unless watumie pass ndefu kama za manutd au chelsea ndio watapata goal la sivyo wanaweza kufungwa kiulaini na arsenal
 
Looks like Arsenal will fail to take an advantage once again. A draw is written all over this game.
 
Looks like Arsenal will fail to take an advantage once again. A draw is written all over this game.

Hii game lazima tushinde Walcott ataingia sasa hivi.

Everton wamechoka walitumia nguvu nyingi sana Old Traford.
 
Hii game lazima tushinde Walcott ataingia sasa hivi.

Everton wamechoka walitumia nguvu nyingi sana Old Traford.

Hachoki mtu wewe! Huo ni mfumo wamesmua kucheza! Ngoja mpigwe Mzee wenu kiu haiishi
 
Eti Mzee Wenger Mwalimu Wa Academy ya arsenal anaota ubingwa! Maweiiiii!
 
Back
Top Bottom