arsenal hamna jipya
duh! huyu jamaa ameamua kutoka kihivi !
arsenal hamna jipya
Haya bwana, hongereni. Mmefumania.
Twende kazi sasa.....
Everton (H)
Napoli (A)
Manchester City (A)
Chelsea (H).
Tunawangoja kwa hamu.
Mwaka wetu huu
Mtasubiri sana yaani ile kifisi fisi kusubiri mkono wa binadamu labda utadondoka!Haya bwana, hongereni. Mmefumania.
Twende kazi sasa.....
Everton (H)
Napoli (A)
Manchester City (A)
Chelsea (H).
Tunawangoja kwa hamu.
Everton watatoa upinzani mkubwa, then Chelsea...tukipata angalau 4pts katika mechi hizi mbili, then tuna nafasi nzuri sana mwezi huu!
kwani nawe arsenalduh! huyu jamaa ameamua kutoka kihivi !
Mie nataka tuchukue zote sita, uwezo tunao, sababu tunazo na nia ya kufanya hivyo pia tunayo. Nimeipenda hiyo signature yako. Siku niliyoisoma hiyo kauli kwenye gazeti nilipigwa na bumbuwazi.
bana hamna loloteGanja bana...
sio mbaya subiri tubadilishe kochaWatu kama hamkosi, well mnapaswa kuwepo ili kuongeza ashiki ktk ushabiki wa soka. Well, MANYU kalamba kimoja tena kwake! Hahahahahaaa!
Ni kweli, sasa hivi tuko vizuri...ila hata tukiteleza iwe kushinda na droo.
Hii signature we acha tu! Ndo raisi huyo
Mkuu kama ulivyosema timu iko poa sana hatuna majeruhi, hivyo pamoja na kuwa December kuna mechi nyingi, lakini tuna uwezo wa kushinda mechi zote zilizobaki kama timu itaendelea kuonyesha soka la hali ya juu kama katika mechi zilizopita at the same time to avoid silly mistakes that could hinder our objective to win it all. Itakuwa poa sana kama tutakuwa na "Perfect December"
Huu ndo muda wakuwatoroka hao jamaa maana baadae tuna mechi ngumu 2-Man C. na Chelski.....