Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

4 more important games to come. We need all focus. I'll accept atleast 13 points if given right now.
 
Point 3 muhimu zimechukuliwa na kusababisha kukusanya Point 34 kibindoni.
Rahaaaa saaaaana.
....COYG....
 
Ushindi wa leo ni mzuri na sasa tunawasubiri Everton nyumbani. Everton hawajafungwa bado ila naamini ndio kwa mara ya kwanza msimu huu wanakuja kuonja kichapo (sisi sio Man United) so far 11 wins kati ya mechi 14 bado haters wanasema tunabahatisha? Wengine eti hatujacheza na timu kali? Sisi tunamshinda aliyeko mbele yetu sawa tuliteleza mechi ya kwanza na Villa kutokana na matayarisho mabovu na tumepoteza mchezo kwa Man Utd kutokana na uzembe wetu na ukiachia mbali mechi hizi 2 timu imekuwa na consistence hata ile mechi ya W Brom tumetoka sare ilikuwa tushinde pia. So far I am happy na msimu huu naamini ni msimu wetu. COYG.
 
jamani kwa anaye angalia game la gunners na hull city aweke matokeo wengine tupo mbali na luninga! cc😡sizinga, Game Theory.

Full time mkuu Arsenal 2 Hull city 0. Magoli yamefungwa na Niklas Benditner na Mesut Özil.
 
Last edited by a moderator:
Nzi tangu tumwambie ana bastola na pia arelax it is just a game kanuna, na huu ushindi wetu mwingine mnono na wao kuchapwa 1-0 ndiyo kabisaaaa saa hizi anakaribia kupasuka kwa kufura. Nziiiiiiiiiii where are you bro!? We miss you.

Nzi vipi? Mbona hujaja humu kama kawaida yako?
 
Last edited by a moderator:
Thanks Gunners.

Yes, it's true. You don't win a premiership league on November or early December.

Arsenal lacking resilience!. My foot.

Polepole ndiyo mwendo.

Arsenal doesn't have ability to stay the premier League title course!. Thank you very much.

4points more on our bag than second placed Chavs and 12points more than last year winner with 15 more goals.

Tukutane tena Emirates on Sunday, 8 December at 16:00 kwenye kazi yetu ya kugawa vidonge vya magoli kwa Everton team.

Kama kawaida, tunawaachia kazi ya kuongea wale wanaofahamu kucheza mpira kwenye vijiwe vya kahawa na kwenye keyboard/keypaid.

Once a gunner, Always a Gunner.

Watch these BBC Sport pundit!

[video=youtube_share;tRGTSYi54H8]http://youtu.be/tRGTSYi54H8[/video]
 
Nzi tangu tumwambie ana bastola na pia arelax it is just a game kanuna, na huu ushindi wetu mwingine mnono na wao kuchapwa 1-0 ndiyo kabisaaaa saa hizi anakaribia kupasuka kwa kufura. Nziiiiiiiiiii where are you bro!? We miss you.
Hahaahahahah...kazi anayo, atafura sana msimu huu. Sisi kwetu kila siku sherehe!
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Umeona eeh!!! Siku hizi huku hata watu kuja kutupa high 5 hawaji kabisa, eti wamenuna lol!!!! Wapi BelindaJacob & Co, Wapi Peasant & Co

Watu kama hamkosi, well mnapaswa kuwepo ili kuongeza ashiki ktk ushabiki wa soka. Well, MANYU kalamba kimoja tena kwake! Hahahahahaaa!
 
Last edited by a moderator:
Haya bwana, hongereni. Mmefumania.
Twende kazi sasa.....

Everton (H)
Napoli (A)
Manchester City (A)
Chelsea (H).

Tunawangoja kwa hamu.

Schedule imebana mwezi huu ila kumbuka mwezi ulopita ilikuwaje, na tulifanyaje! loo
 
Back
Top Bottom