Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fuller - We will get physical

Stoke striker issues Arsenal warning

"When you play physical against them, you often win. Chelsea always do it and they always beat them".


naona siri inajulikana vizuri lakini wenger bado tu hana plan b ya kudili na game kama hizi na this one will be a tough one to win it too watch.
 

mkuu ndio maana nikasema naona hujui historia yetu ya carling cup sasa umeleta issue ya premier league kufungwa na man city kama ungekuwepo siku ya hile mechi ungeona kwamba tulikubali tumefungwa na tulizidiwa kimchezo sasa tatizo liko wapi? huwe unakuja mara kwa mara mkuu na utaweza kujua kinachoendelea.

spending is needed kwa vile van persie kaumia offcourse u need someone.kuhusu liverpool au arsenal to be out of top 4 thats ur opinion na inaweza kutokea au hisitokee.kama wewe imekuuma sana au umefurahishwa kwa arsenal kufungwa carling cup hio ni kwako mimi hainusumbui akili kwa vile najua jinsi Wenger anavyolitumia kombe la carling cup.

ukitaka kuona reaction zangu kwenye mechi tulizofungwa premier league rudi kurasa za nyuma na utaweza kuona maneno yangu na yako yapo pamoja.
 
aisee sisi kweli tunajua kupoteza nafasi zetu muhimu.tuombe tu tuendelee kushambulia.

Mkuu umeisona ile ya Eboue...." What an astonishing piece of defending from Eboue - on his opponent's goal line! Fabregas fires a shot into a seemingly empty net with Sorensen stranded, but inexplicably, Eboue blocks the shot of his team-mate on the line! "?
 
bahati mbaya mkuu hile sema na mlaumu kwa kutokuwa makini zaidi.tunacheza vizuri lakini bila kutumia nafasi zetu haina maana yoyote.tunaweza kuwa disappointed leo kama wakiendelea kupoteza nafasi za wazi kama kipindi cha kwanza.
 
Hongera wakuu naona leo wkend inaenda vema usindi tayari na zile tatu muhimu kama kawaida.

Arsene Wenger anachekelea tuu, Mbu vipi ata leo hatokei kushangilia au shemeji amemzuia kuingia hapa?
 
Nashindwa kuelewa kwa nini wachezaji wetu ni wepesi kupata majeruhi? pengine ni training methods ama? inakuwa so frustrating mchezaji kucheza mechi 2 ya 3 anarudi wodini.
 
Nashindwa kuelewa kwa nini wachezaji wetu ni wepesi kupata majeruhi? pengine ni training methods ama? inakuwa so frustrating mchezaji kucheza mechi 2 ya 3 anarudi wodini.
wachezaji wenyewe wanacheza kilaini laini sana ndio maana inakuwa rahisi kuumia kwenye tackle ndogo ndogo kwa vile hawakazi miguu.
 
Heheh naona mganga wa Chelsea safari hii hataki mchezo msimu huu duh, sie (Man Utd) mabeki wote wagonjwa hapa kwa watani naona kitengo cha ushambuliaji kazi kweli kweli.
Haya Wenger amesema mum-text majina ya wachezaji.

 
Nashindwa kuelewa kwa nini wachezaji wetu ni wepesi kupata majeruhi? pengine ni training methods ama? inakuwa so frustrating mchezaji kucheza mechi 2 ya 3 anarudi wodini.

Mara nyingi hii inasababishwa na vitu vingi.
1. Training methods kama ulivyosema hapo juu
2. Uwanja wanaofanyia mazoezi kutokuwa katika hali bora
3. Incompetent medical staff

AS Roma nao walikuwa na tatizo kama hilo la Arsenal. Yaani wao ilikuwa ndio balaa zaidi kuliko hata Arsenal. Baada ya uchunguzi ikagundulika namba 3 was the main problem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…