Fekifeki
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,519
- 652
Hawa inabidi tuwapige mbili ...
Hazitoshi mkuu, inabidi wapigwe angalau 4-0!!!!
Hawa inabidi tuwapige mbili ...
BAK siku hizi weekend huwa inakuwa bomba sana...mpira safi...magoli bomba na shezn kakomaa kinyanda.#Mamburukenge yanachungulia kwa mbali huku yakiwa yamenuna lol!!!
naona vijana wa cardiff wamekuja juu sana ss hivi!!
wanahitaji ushindi nao.Cardif wanashambulia sasa