Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sina wasiwasi kwani naona jana kama mumechukuwa ubingwa kwa kuifunga Arsenal, safari hii ubingwa mulioupata jana ndio ubingwa wenu lakini kupata epl mutausikia kwenye radio
Hongera zenu

Miaka 8 iliyopita umekuwa msindikizaji nafikiri unajua tumechukua mara ngapi,since Jamboforums hadi Jamiiforums hamjawahi kuchukua ubingwa
 

Mnajifariji live.....

#Hatushikiki

#WakeZetu
 

Mngekuwa mnajua kuwa ligi ina mechi 38 msingejitangazia ubingwa mechi ya 6 tu
 
Ndugu yenu Pierse Morgan mwisho wa game uzalendo ulimshinda akajikuta anatweet ya moyoni "They bring in Giggis we bring in Bertnder...you can't win a title with that kind of sub.."
 
Nashangaa Mburukenge wanashangilia nafasi ya tano .. .... ..... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Baada ya kubebwa na mbeleko mwaka huu mtakoma tu pressure mnayo na next mechi mnafungwa chijui mtakimbilia wapi. Gunners top of the pile so far .... .... COYG.


''Arsenal may have lost at Mancheater but it is too early – and unfair – to knock a side which remains at the top of the Premier League and is still in credit.
No team who win at Borussia Dortmund and lead the EPL by two points at the end of Remembrance Sunday can be placed in a coconut shy for losing to Judas Iskariot header at Mancheater. To dismiss the Arsenal revival after such an explainable setback would be intellectual vandalism.''
 


Pay back time will be at the Emirates .... .. . ..... .
tupo half time .... ...



BTW kuna bugs pale Colney wachezaji wengi wamekuwa wanasumbuliwa na kuumwa umwa hasa baada ya England team kufanya mazoezi pale kuna haja ya kuwakatalia hawa mburukenge luxury ya top class equipment.
 
Reactions: Mbu
TeamMburukenge ushindi umewafanya wanaweweseka sana Mkuu na hii ni kwasababu matokeo hayo hawakuyategemea.
Hawana tofauti na Simba walioshangilia sare ya 3-3 na Yanga....Wakajua ndo washachukua ubingwa wa VPL....

Sasa hawa #Mburukenge kuifunga Arsenal wanajua washamaliza kazi....Wanasahau.kama kuna Everton....Newcastle na Spurs wanawasubiri...
 

kwa kweli hapo umechemsha kwa mechi ya jumapili sikuona Arsenal kama waliingia wameogopa confidence ilikuwa very high that day...we unachanganya kitu hapa nahisi..Manure kuidominate Arsenal kipindi cha kwanza ni sehemu ya Tactics za modern football..ujue manure obvious walikuwa lazima waje na strong start na wapate goli la mapema ili Arsenal wachase game..na kiufundi ukilijua hilo unajiandaa kukaba na kuzuia ili ije "sucker paunch kwenye counter attack" kama vile ulivyoona game yetu Signal iduna park..kipindi cha kwanza walicheza sana BVB ila haikuzaa matunda walipochoka tukapanda tukafunga..GAME OVER...ukiingia kichwa kichwa game kubwa na mpinzani wako yuko na kasi ni kipigo cha asubuhi asubuhi na BIG GAMES early goal linaweza kuwa decisive na very destructive..upande wa anaefungwa mapema..akapanic akaenda mbele akaongezwa....nadhani uliona Liverpool kilichowaponza walivyocheza Emirates alipofunga Santi mpira ukawa wa wazi na wakafungwa kirahisi..

sijui umenielewa..defending deep in order to avoid early goals is part of football tactics in BIG matches
 
View attachment 120871

Huyu ni kocha Mauricio pochettino wa southampton amebadili sana timu baada ya kurithi mikoba ya Nigel Adkins..timu ya Southampton ndio timu pekee iliyoruhusu magoli machache kwenye wavu wake kwenye Ligi kuu ya uingereza..huyu ndiye kocha bora wa mwezi huu kule uingereza..huwezi kuukataa ukweli kuwa anajua kufundisha mpira na hasa wa kukaba kama "NYUKI" hawa southampton walimkalisha "high flying Liverpool palepale Anfield na kwenda kuchafua ubao wa matokeo pale Old trafford..

sio timu rahisi hata kidogo..mi binafsi naiona kama big match hii ..ukifanya mistake kidogo wanachafua ubao wa matokeo hawa...

see you after international break...Arsenal VS southampton At Emirates Stadium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…