Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Losers' grief...

United has been winning games vs. Goons for couple of years...I don't even remember the last time Goons won against United..it seems like Millennium ago...

But we are celebrating because of your twaddle talks b4 the game...that's why #RvP celebrated the goal to the fullest...and now goons are fussing about his celebration...come on #RvP is goddamn United man...

Goons were over confident...that's a grave mistake when you meet a pack of wounded wolves....

#WakeZetu
 
mie sio shabiki wenu. im your HATER. copy that hehehe.
maumivu yataisha tu banaaa, jikaze:A S-confused1:
 
Msingeshinda ingekuwa disaster kwenu,hii mechi kwenu ilikuwa kama fainali wakati kwetu ilikuwa ni game ya kawaida kama zidi ya timu zingine.
 

Mkuu inaonekana uliisusa Arsenal muda mrefu sana naona usajili wa Ozil umekurudisha,Highbury ulifungwa siku nyingi siku hizi kuna Emirates
 
Naomba nimalizie update yangu

22.10.13 - Champions League: Arsenal 1 v B. Dortmund 2
26.10.13 - EPL: C.Palace 0 v Arsenal 2
29.10.13 - Capital One cup: Arsenal 0 v Chelsea 2
02.11.13 - EPL: Arsenal 2 v Liverpool 0

06.11.13 - Champions League: B. Dortmund 0 v Arsenal
1
10.11.13 - EPL: Man. Utd 1 v Arsenal 0
 

Roller coaster ride aliyosema mdudu Mbu

#WakeZetu
 
Last edited by a moderator:
Manchester United kuifunga Arsenal ni kitu cha kawaida sio lazima afunge RVP,kumbuka Juda amekuja last season na mlikuwa mnapewa dozi kama kawaida karibia kila msimu.Najua mnaumia sana RVP anavyowafunga wa kumlaumu ni kocha wenu kwa kutuuzia tena kwa bei chee
 
Arsenal wakikutana na Manchester United wanakuwa waoga sana sijui woga unatoka wapi,Moyes alikuwa mjanja sana kumuanzisha Jones ingawa watu wengi walimponda but ndio aliweza kabisa kuwazima Ozil na Ramsey.Tatizo kubwa la Ozil sio mchezaji wa big match nakumbuka hata akiwa Madrid alikuwa anaflop game nyingi sana walizokuwa wanacheza na Barca.Still bado mna tatizo la msingi mlipaswa kusajili striker Higuain angewafaa sana huwezi kushinda ubingwa ukiwa na striker kama Bertnder
 

Chifu umewapa priceless advice..

Arsene Chenga alivyowajambisha na Ozil wote wakaruka ruka na kusahau tatizo la msingi la goons.

Nemo kwenye mechi kubwa ni bonge la flop...angalia games zote dhidi ya BvB..alipotea..levo yake ni dhidi ya Crystal Palace
 
Mkuu inaonekana uliisusa Arsenal muda mrefu sana naona usajili wa Ozil umekurudisha,Highbury ulifungwa siku nyingi siku hizi kuna Emirates
Hilo unalosema ni jina la uwanja ambalo linaweza kubadilika pindi mkataba ukimalizika without renewal.

Mimi ninataja jengo la office za Arsenal club na pia eneo la sehemu yenyewe.
 
Hilo unalosema ni jina la uwanja ambalo linaweza kubadilika pindi mkataba ukimalizika without renewal.

Mimi ninataja jengo la office za Arsenal club na pia eneo la sehemu yenyewe.
Mechi huwa mnachezea kwenye hilo jengo la Highbury au uwanjani Emirates?
 
Mechi huwa mnachezea kwenye hilo jengo la Highbury au uwanjani Emirates?
Belo nawe bana.....

Mbona unamkomalia Nkwingwa hivyo?....Nadhani amepitiwa mwenzio....

Ngoja na mimi nijaribu kusaidia.....Jina halisi la uwanja wa Emirates ni Ashburton Grove....
 
Siku ya Jana ilikuwa nzuri sana kwa timu ndogo za chini kama Newcastle, Sunderland na Manure na wote walishnda kwa goli 1, So jumapili hii ilikuwa mbaya kwa kwa timu kubwa zilizo juu kama Arsenal, Totenham, na Man City.
 

mfarisayo unaua aisee...jamaa wanachungulia kwenye jukwaa lao...

Hiyo ndiyo tabia halisi ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=MburuKenge]#MburuKenge [/URL], kujificha kwenye nyumba yake...



Sasa tumejua #MburuKenge ni kina nani hasa. Kama ilivyotabiriwa #MburuKenge wote wameambulia disappointment na sasa wamejificha kwenye nyumba yao.
Itabidi next time #MburuKenge wamwambie Mr. Bean amchezeshe Ozil, maana jana naona alikuwa bench.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…