Man Citeh keshafanywa mbaya kule na Sunderland kama Spurs walivyofanywa mbaya na Toons...
...#Longolongo sasa bhaaaasss.....
Muda wa kuangalia kabumbu aka soka umewadia....
See you soon!!!
Vermaelen nae amechukua nafasi ya Mertesacker ambae amekumbwa na tatizo la kuendesha na imebidi abaki hotelini.
Man Citeh keshafanywa mbaya kule na Sunderland kama Spurs walivyofanywa mbaya na Toons...
...#Longolongo sasa bhaaaasss.....
Muda wa kuangalia kabumbu aka soka umewadia....
See you soon!!!
Hii mechi draw itakuwa fair play.
Naona leo mko wachache,kuna watu matokeo wanayajua tayari