Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu wa Gunners mambo vipi? Nasikia mechi ni kali ...... ....... ... ..... .... ...
 
Naona highlight hapa kipindi cha kwanza wametukosa mara mbili ..... ..... ... kipindi cha pili zamu yetu kuwabangua .... ... .. COYG
 
this is bullshit, yan hili litimu limepark bus...i cannot believe wako home wanataka magoli ya counter pia
 
Huyu refa chizi, naona anawabeba Dortmund .... .... sasa Giroud kafanya kosa gani. ..... .
 
Good save Szczesny .... ..... .. .. mtanange mkali sasa ....
 
Arteta kaonywa mara ya mwisho ana yellow tayari ..... ...... ... huyu refa naona atampa red tuchubiri .... .... ...
 
Back
Top Bottom