Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Prof ... ... .. ''It was vital to win, I said that before the game and I don't change my mind, because had we not won people would say 'yes, Arsenal at home they cannot win the big games'. It is done, in a convincing way. We had a good solidarity, a good focus, and I believe we have plenty of other big games coming up and this will help us deal well with them. on reacting to doubts over his squad… We live in a world where we have to be questioned, where you are questioned. The only response we can give is on the football pitch, I said that many times. That is part of our job.''
 
Hivi yule mtabiri wa mechi a.k.a Sheikh Yahaya Yuko wapi?? Naona kaacha kuranda randa humu ndani.
 
Ozil amesema timu ina speed ya Formula 1 nadhani hajakosea,naona kupanga ni kuchagua Chelsea kaingia Robo fainali ya Capital One leo kapoteza Points 3 Muhimu kwenye Premier League,Wenger yeye ameona atolewe Capital One ili ajiimarishe kileleni mwa Premier League sidhani kama kuna ubaya
Huyo chelsea mwenyewe kuna uwezekano atakumbana na the saints,SOUTHAMPTON kwenye capital one,ni lazima apewe za mizengo pinda!
 
Leo mbuga ya Arsenal haina mvuto kabisa kwa watalii,walikuwa wanakuja mkuku,wakapiga breki za nyau,wakageuka na kukimbia mikia kati kati ya mapaja kama mbwa koko.Chezea Arsenal!...utalala na viatu.Kabla ya kumpiga Arsenal nenda kampige babako kwanza.Eti JOGOO anatenga kifua mbele ya RISASI,amechanwa chanwa hata nyama hatuzioni,yamesambaa manyoya tu!
 
Safi sana wadau..timu iko poa tunatililika...khe khe khe kheeeeerr 1383460014295.jpg
 
Attachments

  • 1383460038801.jpg
    1383460038801.jpg
    7.1 KB · Views: 171
  • 1383460055448.jpg
    1383460055448.jpg
    17.7 KB · Views: 77
Mtaisoma tu mwaka huu wapinzani
 
Attachments

  • 1383460848594.jpg
    1383460848594.jpg
    56.4 KB · Views: 81
  • 1383460873354.jpg
    1383460873354.jpg
    52.2 KB · Views: 81
  • 1383460887640.jpg
    1383460887640.jpg
    78 KB · Views: 84
Huyo chelsea mwenyewe kuna uwezekano atakumbana na the saints,SOUTHAMPTON kwenye capital one,ni lazima apewe za mizengo pinda!

Hahaaa unajua mashabiki wengine wanataka tu mradi kombe hata kama halina TIJA kwa maendeleo ya Club kama umeangalia Bingwa wa Capital One na Fa Cup wanashiriki Eufa Cup nafasi ambazo mshindi wa 5 mpaka 6 nadhani kwenye msimamo wa Premier League ndio wanashiriki angalia Wigan wameshinda FA Cup lakini wameshuka daraja kutoka Premier league hata ukiwauliza kushinda FA na kushuka Daraja watakuambia bora kubaki Ligi kuu kuliko kupata Kikombe cha FA maana wanajua kuwa mapato yatapungua sana kama hawatashiriki Ligi kuu,na ndio maana Wenger anakuambia ni bora ukose Capital One Cup kuliko kutoshiriki Uefa Champions League maana utafanikiwa kupata hela ambazo utaendelea kuimarisha team ili kuja kupata mafanikio na hata wachezaji wenye uwezo kuwapata ni rahisi zaidi ukiwa unashiriki Champions League kuliko kuikosa na ndio maana hata Liverpool wanasema kumuuza Suarez kumpata mchezaji wa kiwango chake ni ngumu kwa kuwa hawashiriki Champions League na ukiangalia wachezaji wengi wanajua kucheza Champions League ni mojawapo ya kujiongezea nafasi za kuitwa kwenye vikosi vya Timu zao za Taifa kwa ajili ya World Cup Brazil 2014
 
Eti S. A. S, watu walikuwa wanajisifia kuwa wana Boneti nzuri wakati ni ukweli kuwa uzuri wa gari ni Injini. Watu waliingia oooh! Tuna bonet ya maana aaah!! jamani gari ni Injini ndio ina umuhimu zaidi kuliko boneti. Na sio siri kwa game la Jana Umuhimu wa kuwa na Injini ya maana ulionekana.
 
Hahaaa unajua mashabiki wengine wanataka tu mradi kombe hata kama halina TIJA kwa maendeleo ya Club kama umeangalia Bingwa wa Capital One na Fa Cup wanashiriki Eufa Cup nafasi ambazo mshindi wa 5 mpaka 6 nadhani kwenye msimamo wa Premier League ndio wanashiriki angalia Wigan wameshinda FA Cup lakini wameshuka daraja kutoka Premier league hata ukiwauliza kushinda FA na kushuka Daraja watakuambia bora kubaki Ligi kuu kuliko kupata Kikombe cha FA maana wanajua kuwa mapato yatapungua sana kama hawatashiriki Ligi kuu,na ndio maana Wenger anakuambia ni bora ukose Capital One Cup kuliko kutoshiriki Uefa Champions League maana utafanikiwa kupata hela ambazo utaendelea kuimarisha team ili kuja kupata mafanikio na hata wachezaji wenye uwezo kuwapata ni rahisi zaidi ukiwa unashiriki Champions League kuliko kuikosa na ndio maana hata Liverpool wanasema kumuuza Suarez kumpata mchezaji wa kiwango chake ni ngumu kwa kuwa hawashiriki Champions League na ukiangalia wachezaji wengi wanajua kucheza Champions League ni mojawapo ya kujiongezea nafasi za kuitwa kwenye vikosi vya Timu zao za Taifa kwa ajili ya World Cup Brazil 2014

Mkuu prof ana akili sana aliwaachia wale jamaa ushindi halafu wakavimba vichwa kweli wakajisahau katika premeare, sasa kilichowakuta ni balaaa! Maana Mouthrinho alikuwa anajifuta jasho kweli wakati msimu wa baridi umeanza.
 
Update

22.10.13 - Champions League: Arsenal 1 v B. Dortmund 2
26.10.13 - EPL: C.Palace 0 v Arsenal 2
29.10.13 - Capital One cup: Arsenal 0 v Chelsea 2

NEXT
02.11.13 - EPL: Arsenal v Liverpool
06.11.13 - Champions League: B. Dortmund v Arsenal
10.11.13 - EPL: Man. Utd v Arsenal

Update

22.10.13 - Champions League: Arsenal 1 v B. Dortmund 2
26.10.13 - EPL: C.Palace 0 v Arsenal 2
29.10.13 - Capital One cup: Arsenal 0 v Chelsea 2
02.11.13 - EPL: Arsenal 2 v Liverpool 0

Next

06.11.13 - Champions League: B. Dortmund v Arsenal
10.11.13 - EPL: Man. Utd v Arsena
 
Belo waijua ratiba ya Arsenal vizuri kuliko hata ya Man U!
 
Last edited by a moderator:
ramsey-getty_2721742b.jpg

“It’s something we’ve been lacking over the last few seasons,” said Aaron Ramsey. “We’ve got off to a slow start and have been left playing catch-up. Now we’ve got a gap. Our form after Christmas to the end of the season has been phenomenal in the last few seasons.”

BTW Ozil alikuwa mgonjwa last two weeks he is fine now hivyo machachari yake yapo njiani mtamsikia kule Ujerumani J5 natumaini atakuwa 100% .... .... ... COYG
 
zp_01_Arsenal_v_Li_693.jpg

zp_14_Ramsey-goal-1_1997.jpg

zp_13_Ramsey-goal-2_8381.jpg

zp_16_Ramsey-goal-4_5959.jpg

zp_17_Arsenal-fans-1_6964.jpg

Unblock ''New Era at The Emirates'' khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Back
Top Bottom