Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongereni Arsenal wote matunda aliyofuga wenger sasa yanaonekana I hope Rogers atafata Mfano Mzuri, ila dah goli la Ramsey sitokuja kulitizama mpaka msimu uishe dah :frusty::frusty::frusty: Aaron Ramsey for PFA!
 
NazimiNzi;7721546]Sasa naichukulia Arsenal kama title contender....hongereni.[/QUOTE]

Nzi njoo huku kuna mtu anatumia ID yako...
 
hahahahaah.....mkuu yaani bado ulikuwa huna imani na kikosi cha arsenal?

Leo licha ya kuwa na game ngumu dhidi ya Dortmund mmeibuka na ushindi!! Hiyo ni dalili nzuri kwa timu...Liverpool walituotea kabisa...wala siwaoni wakiwa title contenders...ni wasindikizaji tu....
 
Gunners bana, mie sikutegemea haya, nilikuwa nimejificha huku natazama kimya, lakini vijana kama kweli wakiendelea kucheza hivi na sio nyodo nyodo za mapasi bila sababu, basi BPL yetu mwaka huu.

Tuwape kudos kwa leo....
 
walidai subirini october !!!! october imesepa wanaume wapo kileleni ! wakadaio subirini liver ... laver ndo huyo kaja kapigwa kasepa na lapa mkononi....


COYG
 
Back
Top Bottom