Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mentor
Huyu jamaa sijui kwanini sio shetani wangu kwani kila nikiangalia Chelsea wakati wa RAFA ilikuwa nzuri kiuchezaji kuliko sasa
tuangalie mtanange leo, Sitokuwapo kutokana na majukumu ya kimaisha

Wengi hawampendi huyu jamaa, wanamwona kama shetani, maana akiwepo wanajua wazi kuwa ni ngumu sana kuifunga Chelsea.

Wapinzani wa Chelsea wangependa sana Rafa aendelee kuwa kocha ili aifanye timu iwe kama Liverpool.

Bora uliaga mapema kabisa.
 

Pole msema hovyo umekaa 2 nyumbani. Khe..khe..khe
 
Ni sehemu pia ya Matokeo katika mchezo wa soka, so hatuna budi kukubaliana nayo,
and for now ts time to wait for the game againts Liverpool.
 
Ni sehemu pia ya Matokeo katika mchezo wa soka, so hatuna budi kukubaliana nayo,
and for now ts time to wait for the game againts Liverpool.

Am afraid, utarudia hii post. Liverpool will rest you guys in pieces.
 

Back in training: Lukas Podolski is closing in on a return
... ..... .... .... ..


Chipukizi wa Gunners hawakufua dafu kwa wauza unga ..... .... ...... .... ingawaje refa kawasaidia sana, malipo yanawachubiri kwenye mtanange wa kwenye EPL mburukenge walioibuka hawatusumbui tumepoteza mechi lakini tumepunguza tight fixtures.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…