Ni kweli kuwa Flamini hawezi kusaidia peke yake bali majeruhi wakipona wote arsenal itakuwa ipo vizuri kiasi cha kusema tunagombea Premier League kwa msimu huu
Wakati nyie mkiwa mnasubiri majeruhi wenu wapone timu zingine zitakua zimelala? Mfano Kama Chelsea na Man city na Liverpool na Man utd?
Subirini December ndio muanze kutoa hizo hoja lakini sasaiv ata timu moja ya top4 hamjacheza nayo mkapima uwezo wa kikosi chenu mnaanza kulewa kwa kuongoza ligi?
Unamaanisha top 4 wanaofungwa na WBA at their home play ground?Wakati nyie mkiwa mnasubiri majeruhi wenu wapone timu zingine zitakua zimelala? Mfano Kama Chelsea na Man city na Liverpool na Man utd?
Subirini December ndio muanze kutoa hizo hoja lakini sasaiv ata timu moja ya top4 hamjacheza nayo mkapima uwezo wa kikosi chenu mnaanza kulewa kwa kuongoza ligi?
Unamaanisha top 4 wanaofungwa na WBA at their home play ground?
Inzi is always around......
Mkuu karibu mtanange wa Norwich unaanza sooon
Inviscibles mwaka wenu huu.....