Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Where are Theo Walcott and Oxlade...not good enough!???
 
Kuna wengi hawapendi kuniona hapa kwenye jukwaa la pretenders, hivyo nawapa nafasi wajadili "mambo yao" kwa uhuru zaidi.

......come on Peasant, una gamba gumu kuliko hivyo!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Nzi kuhusu Takwimu zako kuwa msimu uliopita tulianza hivhivi unatakiwa utambue kuwa Arsenal ya msimu huu ni tofaut na ya msimu uliopita kama ilivyo ukwel kuwa Man Utd ya sasa si sawa na Man Utd iliyochukua EPL Msimimu uliopita. Kwa Arsenal ya sasa huwezi kudharau kazi anayoifanya Flamin katika kuzuia Mashambulizi ya timu pinzani so acha kuishi kwa mazoea mkuu.
Pia Naona mlianza kusema Gunners wanapigwa na Napoli sa hivi naona mmeanza kuongelea Dortimound, me naomba fuatilia katika Miaka ya hivi Karibuni BvB WAmekutana na Gunners mara ngapi na matokeo yalikuwaje.
Kuhusu leo Shaktar siyo wa kuwadharau mkuu tena kwa mpira wenu ule wa everton.
 









Vijana watakuwa mazoezini kujiandaa na mtanange
wa weekend kabla ya internationals ... COYG
 
Back to winning days,thumbs up for YES..............GOOONERS..............
 



New deal: Arsene Wenger is set to be offered
a new three-year contract worth £8million a season




Arsene who? A relatively unknown Wenger
took over at
Arsenal in 1996




BTW Wakati Gunners wanafikiria kuongeza muda wa prof wapinzani wanafikiria kuwatimua ma-manager wao ..... ....
 
Sagna atakuwa nje ya ulingo kwa wiki tatu, ameumia gemu ya Napoli

Sitoweza kuwapo kwenye gemu inayofuata kwani bado nimezongwa na majukumu, Mwenyeezi Mungu ajaaliye Arsenal kushinda tena gemu inayofuata
 
Nachowapendea wapenzi na mashabiki wa Arsenal FC hawakurupuki kwenye kujibu hoja za wapinzani,sio kwamba hawaoni wanaona lakini sasa sijui wanataka iwe vipi?Tulipokuwa tunaishi kwa kufungwa walituambia Matajiri lakini Wabahiri na hawajui kutumia Fedha tumeweka vitabu vyetu sawa tumeanza kununua wachezaji wanasema tena,tumefungwa na Villa hakukukalika kila mtu Wenger mfukuzeni sasa hivi tunashinda kila mechi wanasema tutashindwa tuu sasa kumbe walikuwa wanatucheka kinafiki maana walitakiwa kutupa hongera kwa uvumilivu tulioonyesha kwa miaka nane bila kombe kuanzia Bodi na management nzima ya Arsenal Fc na Mashabiki duniani kote,kusema kuhusu Dortmund kuwa ndio mwisho wa reli walianza kuwa hatutapita kwenye kundi sasa hivi wanaanza kuzitafuta team za kuifunga Arsenal maana walitegemea Napoli kachezewa kama tulivyomchezea Bayern Munich kwenye uwanja wao wa Allienz Arena tuseme kuwa siri ya mafanikio ya Arsenal ni Arsene Wenger kwa kuwa Manager anayejua kwenda na hali ya timu yake tulipokuwa hatuna Budget ya kutosha aliiwezesha timu kucheza UEFA Champions League sasa wameiwezesha team nadhani atafanikiwa hata Fa Cup mwakani atakuwa amejipanga vizuri kwa Premier League Champion kwahiyo wanachokosea wenzetu hawajui kuwa kocha anataka muda sio baada ya mwaka mmoja au miwili mnamfukuza anakuwa hajapanga hata mikakati yake vizuri kama alivyofukuzwa Dicanio amenunua wachezaji 14 wapya unategemea baada ya mechi 6 wawe wanaelewana jamani hapo ndio matatizo ya ku manage club ya premier league yanapokuwa,Man Utd sio kwamba Moyes hajui ila anatakiwa kupewa muda alijua matatizo ya Manutd ni kiungo wa ulinzi wa kusaidiana na Carrik akamtaka Alcantara hakupewa akaomba apewe Contrao wa Madrid hakupewa mnataka afanye miujiza apate ushindi tusiwe tunaongea wakati hatujui matatizo ya timu yapo wapi ? Nadhani mabeki na kiungo wa ulinzi ni pengo linaloonekana wazi Manutd kwa mpenzi anaejua kuifuatilia timu yake vizuri ni kama Arsenal tunavyopata shida wanapoumia
mabeki wawili wa kati hatuna tofauti na Manutd kabisa



Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Kukurupuka, kutokua na busara, kuendekeza maoni ya magazeti na ma pundits...

Kama board ya Arsenal isingekua na busara, kwa sasa tungekua hatuna Le Prof na tunahangaika championship au below league table...
 





Taking guard: Mathieu Flamini patrols
the near post during a training game




On your tail: Record signing Mesut Ozil closes
down German compatriot Per Mertesacker


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…