kuna watu humu ndani utafikiri timu zao hazina thread au hazichezi UCL leo ila kutwa kuja kujishebedua kwenye thread ya Arsenal wakati thread hii maudhui,madhumuni na mantiki yapo post n0 1 kati ya posts 27909 zilizomo humu inayosema
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.soo nyie wengine nendeni kwenu mkasifie timu zenu na sio kutujaziaupuuzi wenu
Chamakh
Hao wote unaowaona wanashinda humu eidha wana gubu au wanapenda hawapendi bado hawajaamua au wivu unawahangaisha
chamakhkuna watu humu ndani utafikiri timu zao hazina thread au hazichezi UCL leo ila kutwa kuja kujishebedua kwenye thread ya Arsenal wakati thread hii maudhui,madhumuni na mantiki yapo post n0 1 kati ya posts 27909 zilizomo humu inayosema
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.soo nyie wengine nendeni kwenu mkasifie timu zenu na sio kutujaziaupuuzi wenu
Ilikuwa enzi za fergie mkuu but not now,RVP mwenyewe alivutiwa na sera za ku-win it in an ugly way za kibabu fergie lakini si kwa huyu moyes,kazi mnayo!RVP alicheza hapo misimu 8 hakuambulia kitu,kaja Manu msimu mmoja kashachukua EPL while hakuna hata mchezaji mmoja wa Arsenal aliyechukua EPL kwenye kikosi chenu.Tunawasubiri wengine ukame ukizidi watakuja wenyewe
Kazi nzuri kutoka kwa Giroud na Ramsey1 up goal scored by ozil
Yaani magazeti yalivyokuwa yanawapamba hawa napoli. Duh! Higuan anajuuuta
Hawajafungwa tangu msimu uanze.Sio yalikuwa yanawapamba ila hawa jamaa hawajafungwa tokea msimu huu uanze kama sijakosea