Hahahaaaaaa,babu alizoea kubebwa na FA/marefa,wachezaji si ni hao hao toka misimu 3 illiyopita??
Moyes analalamika hana world class players .. Aje goners tumpe diaby na miyachi kwa mkopo tuokoe jahazi ...
Hahaha kwani hiyo mnajali mbona van Persie mmemchukuwa ... Njooni mkope diaby na miyachi ... At list mtamaliza top 15
Mkuu Wacha, nasikia Everton wana point 9 wamewapiga Newcastle 3-1 na wapo sasa juu ya Man Utd!, yaani kazi yote ya kuiandaa Everton aliyoifanya David Moyes ya kuja kuwa kuwa juu ya Man Utd kwenye msimamo wa ligi imekamilika.
RVP alicheza hapo misimu 8 hakuambulia kitu,kaja Manu msimu mmoja kashachukua EPL while hakuna hata mchezaji mmoja wa Arsenal aliyechukua EPL kwenye kikosi chenu.Tunawasubiri wengine ukame ukizidi watakuja wenyeweHahaha kwani hiyo mnajali mbona van Persie mmemchukuwa ... Njooni mkope diaby na miyachi ... At list mtamaliza top 15
RVP alicheza hapo misimu 8 hakuambulia kitu,kaja Manu msimu mmoja kashachukua EPL while hakuna hata mchezaji mmoja wa Arsenal aliyechukua EPL kwenye kikosi chenu.Tunawasubiri wengine ukame ukizidi watakuja wenyewe
Ndo nakwambia njooni muwachukue hao wawili .. Kawaida mchazaji wa arsenal akij a manure starting 11 laxima .. Anakuwa tegemeo .. Diaby na miyachi hswatowapa ubingwa ila watawavuta vuta at list mmalize juu ya swanswea
kuna watu humu ndani utafikiri timu zao hazina thread au hazichezi UCL leo ila kutwa kuja kujishebedua kwenye thread ya Arsenal wakati thread hii maudhui,madhumuni na mantiki yapo post n0 1 kati ya posts 27909 zilizomo humu inayosema
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.soo nyie wengine nendeni kwenu mkasifie timu zenu na sio kutujaziaupuuzi wenu
Tafuna hiyo Napoli leo,Guners msiache kitu......
Kawaida mchazaji wa arsenal akij a manure starting 11 laxima..