Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mkuu mbona unapenda fujo sana? watu wnaongea vitu vya maana wewe unasema longo longo ha ha ha.mbona mechi zako kubwa sie hatuwasumbui mkianza kupigiana mikwara?

mie natizama mechi ya leo kwanza lol.

Hahaha, soon watapandishiana hasira wewe ngoja tuu...si unajua wataongea kila kitu mwishowe wanaishia kutunishiana misuli ila ndio ushabiki huo.

Inanikumbusha miaka ya nyuma nilienda kwenye pub ya wa-Irish kuangalia mechi duh jamaa watemi wale wakibishana kidogo mwingine anapiga glass mezani lol.
 
Timu mbovu jamani watafanya nini washabiki?

Mkuu umeanza kushabikia Chelsea lini? Maana miaka ya nyuma jamaa walikuwa wabovu tuu wanagombea nafasi ya saba na kina Nottingham Forest, Crystal Palace na Ipswich Town sijui.
 
Congrats Arsenal and LIVERPOOL ARE OUT OF THE CHAMPIONS LEAGUE
 
Problem kubwa ya Arsenal ,hatuna golikipa wa kutupatia ushindi ambaye anaweza kusave magoli ambayo ni unsavable kama vile Van or Petr Cech.Katikati hatuna "authority" midfielder kama alivyokuwa Viera yaani mbabembabe ambaye anaweza kupambana na yeyote yule aje Gerald,Lampard or anybody else.Ambaye pia ana uwezo wa kuhamasisha wenzie na vile vile kukaa na mpira.Matatizo mengine ni madogo madogo ambayo kila timu inayo.
Inaonekana umeanza kushabikia Arsenal majuzi, Arsenal ni timu bora imesimama pale pale wala haitetereki, Mfano angalia Chelsea wameanza kuongea baada ya Jose Mourinho kuja pale darajani before walikuwa hawajulikani na ukiangalia mashabiki wengi kutoka hasa bara letu wameanza kuishangilia chelsea baada ya Mourinho kuhamia pale.
Liverpool hii tu kushindwa kuingia 16 ya champions L. Utasikia wanaanza kutafuta kocha wa kum replace Ben. Kumbuka baada ya Henry kuondoka watu walisema kuwa hata big 4 tutakuwa tunaisikia tu lakini Arsenal imesimama pale pale,Msimu huu baada ya Adebayor,Kolo Toure na Hleb kuondoka waliendeleza ngonjera zilezile kuwa Arsenal imekwisha lakini angalia tulipo mpaka sasa,na sikilizia Champions L. mpaka final ndiyo hapo sijui mtasemaje.
 
Song agrees new contract

Midfielder to ink new terms in North London

By James Dall Last updated: 24th November 2009

[URL="http://www.skybet.com/skybet?offer=93&aff=1457&SS_PromoAd_FB"]
[/URL]

Song: New deal

Arsenal manager Arsene Wenger has confirmed that midfielder Alexandre Song has agreed a new contract with the club.

The Cameroon international is set to put pen-to-paper on terms that will tie him to Emirates Stadium until 2014.

Song
spacer.gif
joined the Gunners from Bastia in 2006 and over the last year he has emerged as a vital member of Arsene Wenger's
spacer.gif
side.

Wenger said: "We extended his contract yesterday. That will be confirmed very shortly. He is an important player.

"Alex has three years to go, now he has four years to go at the end of the season - to 2014."

Anchorman Song, 22, has made a total of 96 appearances for Arsenal, scoring three goals.
 
Timu ilicheza vizuri lakini bado kuna haja ya kuwa na finisher wa kuaminika kama alivyokuwa henry
 
Arsenal ni timu nzuri lakini tuna matatizo kidogo ya umaliziaje, wa create nafasi nyingi sana lakini magoli machache sana ndio yanayofungwa, mzee wenger anhitaji striker mmoja wa kueleweka kama Droga kwa Chelsea, Torres kwa Liva au Rooney kwa Man u!
 
the unsung hero, huyu ndio roho yetu sasa hivi pale kati kumlinda fabregas.dogo yuko kwenye form kinoma.
 
Arsenal ni timu nzuri lakini tuna matatizo kidogo ya umaliziaje, wa create nafasi nyingi sana lakini magoli machache sana ndio yanayofungwa, mzee wenger anhitaji striker mmoja wa kueleweka kama Droga kwa Chelsea, Torres kwa Liva au Rooney kwa Man u!
sasa si tuna van persie mkuu yupo injury? alafu sisi huwa tuna share kufunga magoli kwa style yetu ya mpira ndio maana tuna magoli 57 mpaka sasa mechi zote.
 
Mkuu, mechi ya jana sikuicheki, nilikuwa bussy kizushi. naona hapa watu kama kweli, wewe (arsene Wenger), next level, balantamda, mbu, etc hamkuwepo pia!! maana sijaona updates za jana.
mkuu pole sana mechi ilikuwa nzuri jana pande zote mbili zilicheza vizuri na ilikuwa kutumia nafasi tu.jana niliangalia game mpaka dakika ya 60 kuna sehemu nilikuwa nawahi na pole kwa kuto kuwekea matokeo hapa nilishindwa baada kuona kulikuwa kimya kwahio nikakosa mtu wa kudiscuss nae mechi wakati inaendelea.

naona watoto wa carling cup wamepata mechi ya champions league ya mwisho nawao wajenge cv yao lol kwani hata tukifungwa hio mechi bado tunaongoza kundi letu.
 
sasa si tuna van persie mkuu yupo injury? alafu sisi huwa tuna share kufunga magoli kwa style yetu ya mpira ndio maana tuna magoli 57 mpaka sasa mechi zote.

Leo naangalia replay zidi ya Sunderland! Bent balaaa
 
Timu ilicheza vizuri lakini bado kuna haja ya kuwa na finisher wa kuaminika kama alivyokuwa henry
Mkuu Ashavin.....karibu sana JF......! Karinu sana kny kijiwe kidogo cha the Emirates........!

Hapa lkn angalia kuna watu kama Masanilo, Belo, Egylpz, Mvina........wako na meneno sana...so take care & ukiona wanakusumbua just shout out kuna comrades kibao kama Arsenla Wenger, Richard,Kweli, BAK,BM etc etc etc......!
 
Reported English Premier League Injuries

Sunday 22nd November 2009​

ClubInjuriesPlayerConditionExpected Return*Next Match**Arsenal8V DiabyCalf Muscle Strain29th Nov 09 K GibbsAnkle/Foot Injury24th Nov 09 R Van PersieSprained Ankle9th Jan 10 G ClichyBack Injury29th Nov 09 J WilshereAnkle/Foot Injury2nd Dec 09 L FabianskiThigh Muscle Strain29th Nov 09 N BendtnerInguinal Hernia5th Dec 09 J DjourouKnee Injury Ongeza Gibbs na Galax​
Kieran Gibbs has fractured the first metatarsal in his left foot and will be out for around three months.

am not sure who should start between traore n silvestre maybe we should just use eboue.traore game kubwa mchecheto mwingi sema kwenye pace anafaa,silvestre tatizo lake mzito sema experience anayo nashangaa siku hile alimsindikiza drogba kufunga goli.
 
Back
Top Bottom