Mkuu AW hii position inahitaji natural left footed player na kutokana na majeruhi tumebaki na Traore tu ambaye kama unavyojua uzoefu bado mdogo na kwa mechi kubwa kama hii naona option nzuri ni Wenger kumchezesha Silverstre kwa vile ana uzoefu zaidi. Nadhani timu itakuwa hivi:Kieran Gibbs has fractured the first metatarsal in his left foot and will be out for around three months.
am not sure who should start between traore n silvestre maybe we should just use eboue.traore game kubwa mchecheto mwingi sema kwenye pace anafaa,silvestre tatizo lake mzito sema experience anayo nashangaa siku hile alimsindikiza drogba kufunga goli.
Mkuu BM kwa ukweli mechi ilikuwa ya upande mmoja, tuliwazidi sana jamaa statistics za mechi:Mkuu, mechi ya jana sikuicheki, nilikuwa bussy kizushi. naona hapa watu kama kweli, wewe (arsene Wenger), next level, balantamda, mbu, etc hamkuwepo pia!! maana sijaona updates za jana.
NOV 29 mtalijua jiji la London!
Wala usijali, wapenzi wa Gunners ni wastaarabu sio kama Scums wa Kings street ama thugs wa WH Lane na Upton Park.Sijapata ticket ya Emirates Nov 29, lakini napanga kuangalia mechi kwenye pub inaitwa Gunners iko Arsenal (204 Blackstock Road, N51EN). Sijawahi kuingia hapo na siijui lakini nitakuwa na jezi ya BLUE....i hope "nitakaribishwa"....anyone wanna join me?
Wala usijali, wapenzi wa Gunners ni wastaarabu sio kama Scums wa Kings street ama thugs wa WH Lane na Upton Park.
Mimi nakushauri upaki na fulana ya nyongeza maana unaweza kurudi nyumbani tumbowazi kwa kuchelea aibu ya kufungwa.
naona van persie ndio kwisha tena.5 months out jamaa kumbe injury yake ilikuwa serious kuliko walivyo fikiria mwanzo.
sijui itakuwaje kuhusu striker mnake ma striker wengi wazuri wamecheza champions league.atamkumbuka chamakh sana.Kama AW ana mean business lazima asajili striker january, na tunahitaji beki mzuri ambaye anaweza cheza kama kiraka pale nyuma. Ukicheki Man U watu kama Brown na O'shea unaweza kuwachomeka popote pale nyuma, mgogoro mwingine tuliokuwa nao uko kushoto pale, kale katoto sikaamini sana na ndio hivyo nako kameumia, sasa najua AW atamuweka babu Sylvester pale na hapa ndo patakuwa 'motorway' ya mashambulizi ya Chelsea. Tumeisha wallah!
Mkuu hatuhitaji striker mwengine tulionao ni wanatosha, nakubaliana na wewe tunahitaji all action back player dizaini ya Vermaelean na Oshea, vilevile kipa, kwa kweli toka aondoke Lehman hatuna kipa, Almunia sio makini kabisa na mwisho hatuna no-nonsense midfield dizaini ya Roy Keane, Vieira, Essien na Gerrard.Kama AW ana mean business lazima asajili striker january, na tunahitaji beki mzuri ambaye anaweza cheza kama kiraka pale nyuma. Ukicheki Man U watu kama Brown na O'shea unaweza kuwachomeka popote pale nyuma, mgogoro mwingine tuliokuwa nao uko kushoto pale, kale katoto sikaamini sana na ndio hivyo nako kameumia, sasa najua AW atamuweka babu Sylvester pale na hapa ndo patakuwa 'motorway' ya mashambulizi ya Chelsea. Tumeisha wallah!
Yule mganga amechemsha?naona van persie ndio kwisha tena.5 months out jamaa kumbe injury yake ilikuwa serious kuliko walivyo fikiria mwanzo.
Hatuhitaji visingizio sasa leo ni Chelsea VS ArsenalMkuu hatuhitaji striker mwengine tulionao ni wanatosha, nakubaliana na wewe tunahitaji all action back player dizaini ya Vermaelean na Oshea, vilevile kipa, kwa kweli toka aondoke Lehman hatuna kipa, Almunia sio makini kabisa na mwisho hatuna no-nonsense midfield dizaini ya Roy Keane, Vieira, Essien na Gerrard.
Venginevyo kwa kweli timu tuliyonayo ni nzuri tu tena sana ila kisaikolojia bado wachezaji wetu wako dhaifu na ndio sababu tunakuwa hatuna consistency.
Hatuhitaji visingizio sasa leo ni Chelsea VS Arsenal
Timu hii ndio mlisema msimu huu mnabeba kombe mbona mnaanza kuogopa
Hatuhitaji visingizio sasa leo ni Chelsea VS Arsenal
Timu hii ndio mlisema msimu huu mnabeba kombe mbona mnaanza kuogopa