Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Sagna anakera
We acha tu january inabidi kupata mabeki wapya
Arseno Chenga aliwajambisha na Ozil, basi wote mkaruka na kusahau matatizo ya msingi yanayoikabili timu.
Ozil ni kila kitu: kipa, beki, kiungo na mshambuliaji. Hivyo tulieni tu, le profeseli Chenga ashasema hasiposhinda taji lolote (sijui alijumulisha na Capital One Cup?!?) hatajiuzulu.
Mpira dakika 90 chifu...
Ozil katengeneza goli la kwanza...Na la 2....
Giroud kakosa la 3....
Mtachonga saaaaana msimu huu....
Sawa. Ukweli mnaufahamu na mshausema sana humu. Lakini leo mnajifanya vipofu.
Sawa. Tuombe uzima tu chifu. Mei mwakani, mbabe atafahamika tu.
Iam happy going to half time with the lead. By the way hili tangazo la supersport 'the boss' linanikosha kuanzia pale kwa the special one for the fina push, prof wenger na chuma ya maji na kumaluzia na SAF na air drierDakika ya 40
Arsenal 2-1 Stoke
Huyu achana naye mkuu....anatupotezea muda tu kwenye jukwaa letu!Ukwelo upi tena Chifu?.....Najua tatizo no Ozil kuwa Arsenal.....Watu wanaumiaaa
Hebu wastue wenzio muende kwenye jukwaa lenu muanze kuitafakari game na City ya baadae.....Hapa mumuachie Ngoswe ya kwake Chifu....
Kila la heri...