Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Soccer ni mchezo wa amani na sio ugomvi so natumai mtayamaliza mkuu na mambo yataendelea kusonga.
 

Mkuu wadau wa Liverpool wakikusikia! Kwamba wao wapinzan wao ni Everton na swansea?? Hahahahahahaha hiyo kiboko.
 
Mkuu wadau wa Liverpool wakikusikia! Kwamba wao wapinzan wao ni Everton na swansea?? Hahahahahahaha hiyo kiboko.

Mkuu ni uwazi usiofichika kuwa sisi wapinzani wetu ni Chelsea,Mancity wapinzani wao Man utd kwa kuwa unaangalia na Points walizopishana kwenye msimu ulioisha sasa kwa Liverpool na Arsenal nadhani ni nyingi hata ukilinganisha na nafasi waliyomalizia ni mbali sana na Arsenal kwa maana hiyo ndio maana nikasema Liverpool sio wapinzani wa Arsenal



Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Pamoja sana jirani....

AW kasema asipobeba ndoo msimu huu anajiuzuru.....
 
Mpo wenyeji?

Wapi Wacha1 kelele?

Dah huja Wacha kuwanga? Karibu sana badala ya kusoma mambo ya kabumbu tunasoma mambo ya Young Diver .... .... ooops pengine ushoga umemchosa chacha anaanza kudive bila soni. Prof anaendelea kuwafunda vijana pale Colney .... ..... ..COYG.
 
Ni kweli?
Kama ni kweli basi inabidi aanze kufungasha


Wala msiwe na shaka Prof. haendi kokote, mtakuja kuona kinachoendelea. Hakuna manager hivi sasa mwenye soko kama yeye muulizeni Morinyo. Hizi ni porojo tu za wale wasioitakia mema Gunners. Vijana wanajiandaa kwa CL mid week ..... ... ... ...... ... Wasiofahamu mpira walikuwa wanamsakama Ramsey kila uchwao leo wanaona matunda wanadandia treni kupitia kwa dreva.

Prof hajamaliza Project 'Arsene Wenger' stay tuned ..... ..... .... ... si mmesikia Chelsick walivyokung'utwa kama gunia nobody called them in crisis ... .... ...


''
Arsene Wenger has said his future as Arsenal manager will be determined by the success or failure of a new team built around club record signing Mesut Ozil. Wenger’s contract expires in June and, on the day he unveiled the £42.5million Germany midfielder, the Arsenal boss said his decision to extend his 17-year-old tenure will be based on whether there is a decent return on the club’s huge investment.

Asked on Thursday if he had opened talks over a new contract, the 63-year-old said: ‘We are in no hurry. We are in September and my contract finishes in June. There’s a long way to go. There’s no need to plan.''






Invincible: Wenger with the Premier League trophy in 2004
after Arsenal's undefeated season













At the double: Wenger with the Premier League trophy and FA Cup in 2002








Top man: Wenger with the Premier League trophy in the first Double-winning year, 1998




COYG ...... ....... ....... ...
 


Overlooking: Wenger of looks on during an Arsenal
training session at London
Colney



On their way: The players warm up
in preparation for the visit to Marseille







Isaac Hayden and Chuba Akpom are both in Arsène Wenger's 18-man squad
to face Marseille but
Serge Gnabry and Emmanuel Frimpong
have not travelled to France.




Strengthened: Ozil (left) should be fit to face Marseille
after an impressive debut on Saturday








Pals: Flamini (left) and Giroud (right) pose together
ahead of training in London



















On our way: Wilshere and Ozil posted pictures
from their private team jet on Twitter




BTW Vijana wametimka wako ufaransa tayari kwa mtanange wa kesho wa kukata na shoka asie mwana aeleke jiwe ....
 


Kufungwa kwa kela sana! Siko sana JF Baada ya kugundua si jukwaa huru

best wishes gunners
 
Kufungwa kwa kela sana! Siko sana JF Baada ya kugundua si jukwaa huru

best wishes gunners


Umeona Ehe!
''New Era at the Emirates'' imefungiwa miongo mingapi? Still counting kisa Wivu, asikusikie tu Invisible na Mungiki Brother khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huyu Nzi hana lolote anatangatanga tu.
 

Umeona Ehe!
''New Era at the Emirates'' imefungiwa miongo mingapi? Still counting kisa Wivu, asikusikie tu Invisible na Mungiki Brother khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huyu Nzi hana lolote anatangatanga tu.

hahahahahaha Nzi anashinda humu mpaka anasahau Uzi unaomuhusu mkuu sijui kulikon!!?
 
tukimkamata mathieu valbuena ili pasi zake za mwisho zishindwe kumfikia andre pierre gignac basi leo arsenal tunamgonga marseille goli zisizopungua mbili.......hawa jamaa naamini ushindi wao uko kwa valbuena peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…