Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Heheeeeeeeeeeee...................Naona unanifuatafuata sana jirani yangu, bahati mbaya ni kwamba nilishaoa sihitaji nyumba ndogo. Habari mbaya zaidi kwako ni kwamba mimi niko straight, sina mpango na wassenge hivyo jaribu bahati yako kwingine.
Heheeeeeeeeeeee...................
Yashakuwa hayo ndugu......
Mi nilijua ni utani tu wa soka kama wewe unavokujaga hapa na maneno ya shombo dhidi ya mashabiki wa Arsenal......
Kumbe mkuki kwa Nguruwee.......
Btw.........Siwezi kukurudishia tusi lolote kati ya uliyonitukana maana kufanya hivyo nitakuwa si Muungwana/mwanamichezo......
Kweli kufungwa kubaya.......Chezea Everton wewe!
Kwa maneno yako hapo juu (kwenye nyekundu)....Huna haki ya kuendelea kujiita mwanamichezo/shabiki wa soka
Wapi Wacha1 makelele?
Tatizo letu kubwa Arsenal ni majeruhi ukiangalia bila Wenger kumchukua Flamini na Ozil shughuli ilishakuwa mbichi PoldoskiNadhani MANU bado wana kazi ngumu ku-gel, wachezaji ni walewale, ila kocha, mpya anafanya timu iwe na philosophy mpya ambayo itachukua mda kuwa implemented.
Kwa upande wa ARSENAL, nadhani mwaka huu.... kama hakutakuwa na uzembe, basi kutakuwa na silverware japo moja.
Tatizo Arsenal habari zake zinauza mbaya sasa wewe angalia Wenger kamnunua Ozil dunia nzima inasisimka,hili jukwaa letu zuri hata tukipokea vipigo vina majibu yake na tumeanza kutoa dozi watanuna sana mwaka huu,wewe ona mtu anaogopa kumpeleka mchezaji kwa mkopo Arsenal kisa ni mpinzani huko ni kutojiamini mbona Wenger alimuuza Rvp Man utd na hakusema kuwa ni mpinzani kuna wakati unatakiwa kuchukua maamuzi magumu kama ya Tottenham kumuuza Bale Madrid ili Arsenal wamnunue Ozil huo ndio uanamichezo unaangalia unaziba kwa njia gani pengo lake sio kumng'ang'ania halafu mchezaji hachezi 100% kama washikaji zetu wa Liverpool wanavyomng'ang'ania Suarez eti wapinzani wetu wakati walimaliza ligi sijui nafasi ya nane huko wao wapinzani wao ni Everton na SwanseaMkuu Balantanda tunashukuru kwa majibu yako yenye ukomavu wa hali ya juu.
Kufungwa kunaleta jazba na panic,sie Gunners tuna experience na hilo since 2005......
Peasant ligi Bado mbichi hii na mpira bila utani haunogi..
MJADALA UFUNGWE TURUDI KWENYE VIJEMBE
Tatizo letu kubwa Arsenal ni majeruhi ukiangalia bila Wenger kumchukua Flamini na Ozil shughuli ilishakuwa mbichi Poldoski
,Arteta,Chambelin na Cazorla wote majeruhi kweli kungekuwa na timu hapo yaani sasa afadhali wapo watu wa akili unaona Ramsey anavyopata muda wa kwenda mbele baada ya Flamini kukaa kiungo mkabaji kwa sasa labda tupate mshambuliaji na beki wa kati mmoja tuone mambo yatakavyokuwa January
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
TV5 amesharudi toka majeruhi kwa hiyo mabeki wa kati wanatosha, Per, Lauren na Vermaelen, sasa hivi Bacary nae ni kiraka pale kati.
Arteta anakaribia kurudi, kwa hiyo katikati sio tatizo sana... mshambuliaji ndo tatizo, kama Giroud akiumia manake labda Walcott ndo asimame mbele au Niklas... lazma tuumie
Naona unanifuatafuata sana jirani yangu, bahati mbaya ni kwamba nilishaoa sihitaji nyumba ndogo. Habari mbaya zaidi kwako ni kwamba mimi niko straight, sina mpango na wassenge hivyo jaribu bahati yako kwingine.
Bora asije tu Chifu maana wengine tushatukanwa hapa na kudhalilishwa kisa mpira.....
kama n mambo ya soka tu, kwenye red hujaonyesha uungwana...ila kama kuna jingine lililojificha nachukua jembe nikalime sasa, pia pole kama nawewe ni ze bluu mkuu
Punguza hasira jirani,huu si uana michezo!
Heheeeeeeeeeeee...................
Yashakuwa hayo ndugu......
Mi nilijua ni utani tu wa soka kama wewe unavokujaga hapa na maneno ya shombo dhidi ya mashabiki wa Arsenal......
Kumbe mkuki kwa Nguruwee.......
Btw.........Siwezi kukurudishia tusi lolote kati ya uliyonitukana maana kufanya hivyo nitakuwa si Muungwana/mwanamichezo......
Kweli kufungwa kubaya.......Chezea Everton wewe!
Kwa maneno yako hapo juu (kwenye nyekundu)....Huna haki ya kuendelea kujiita mwanamichezo/shabiki wa soka
kama n mambo ya soka tu, kwenye red hujaonyesha uungwana...ila kama kuna jingine lililojificha nachukua jembe nikalime sasa, pia pole kama nawewe ni ze bluu mkuu
Punguza hasira jirani,huu si uana michezo!
Dah....
Huyu sio Peasant wa miaka nenda rudi humu jf tunayechachafyana nae mwanzo mwisho wa EPL ....
It's only a game buddy, why taking it personal?
Kwa hiyo majina yote hayo aliyoonita Balantanda sio matusi? Mbona hilo hamliongelei jamani? Au kwa sababu ni "mwenzenu"? Mimi nilikuwa najibu mapigo niliyopewa na Mh. Balantanda, kaanza mwenyewe kutoa lugha mbovu kumbe kupokea hawezi. I am done with this topic.
Jirani mimi na wewe hatujaanza kutaniana jana wala Leo.....Kuitana 'shabiki maandazi' ama kilaza ni utani wa kawaida hapa jukwaani....Lakini neno kuolewa ama us..ge no geni kwenye jukwaa la michezo....
Kama nilikukwaza naomba uniwie radhi maana mimi nilijua no muendelezo wa uleule utani wa mtu na jirani yake....
Si kwamba siwezi kupokea jirani....Naweza sana lakini kiungwana sitakiwi kujibu neno chafu kwa...neno chafu.....Kugombana ama kurushiana maneno si kuzuri kwa wanamichezo.....
Tuliache hili .....Tuendelee kumkoma nyani giladi...
Cheers......
Bala.