Siku kama hiyo huwa sitaki usumbufu wa aina yoyote ile ni mimi na TV kwa dakika 90 sitaki kukosa hata sekunde moja lol!!! Kwa hiyo huwa nahakikisha kila kitu kiko shwari kabla ya kuanza rasmi kuangalia game. Kuna njembas zina midadi ya kufa mtu ukiangalia nazo game yaani unaweza kuvunjika mbavu lol!!! hahahahah
Ushindi ni ushindi, sehemu kama Sunderland huwa hazitabiriki, pointi hizi 3 ni muhimu, tatizo letu hatuna striker Giroud nae ndio kaumia, tusubiri ripoti Mungu ajaalie yasiwe majeraha ya muda mrefu. Mwendo mdundo.