Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 366
Defensive mid si tayari tumeshamchukuwa Flamini? J2 alituonyesha kuwa bado yupo kwenye fom. Wasiwas wangu ni striker cuz hatuna back up ya Giroud.Usajili wa Ozil sio kitu kibaya but in general bado hii transfer window imekua ni dissapointment kwangu binafsi. Ozil ni attacking midfielder lakini in my opinion we were desperate for a defensive midfielder na striker. Kama uongozi ungekua makini tungeweza kuwa na timu ilikamilika na kutisha hata kabla ya hizi dakika za mwisho.
Defensive mid si tayari tumeshamchukuwa Flamini? J2 alituonyesha kuwa bado yupo kwenye fom. Wasiwas wangu ni striker cuz hatuna back up ya Giroud.
Kama uliangalia mechi ya arsenal Vs Tottenham huyo kiungo mkabaji unaesema nadhani ulimuona na alifanya kazi kubwa sana kwani baada ya kuumia Wilshere aliingia Flamini na mambo yakawa kwa kiasi kikubwa alileta uhai kwenye kiungoUsajili wa Ozil sio kitu kibaya but in general bado hii transfer window imekua ni dissapointment kwangu binafsi. Ozil ni attacking midfielder lakini in my opinion we were desperate for a defensive midfielder na striker. Kama uongozi ungekua makini tungeweza kuwa na timu ilikamilika na kutisha hata kabla ya hizi dakika za mwisho.
Mi siwezi kupima ubora wa mchezaji yeyote kama timu pinzani ni Spurs! Spurs wabovu sana tena na sasa Bale kaondoka ndo wameisha kabisa. Ngoja tucheza na one of the big boys ndo tutajua how good our team is. Huyu Flamini angekua mzuri kihiivyo, Milan wasinge m release.

Milan walimwachia mkataba uishe na walijaribu kumuongezea ila alikataa na ndio tabia yake kuhama kwa free transfers kwani Arsenal walimpata mwaka 2004 bure kutoka marseile na akaenda Ac milan bure na amerudi bure kuna shida kwaniMi siwezi kupima ubora wa mchezaji yeyote kama timu pinzani ni Spurs! Spurs wabovu sana tena na sasa Bale kaondoka ndo wameisha kabisa. Ngoja tucheza na one of the big boys ndo tutajua how good our team is. Huyu Flamini angekua mzuri kihiivyo, Milan wasinge m release.

Provide us with the reliable source of sports news anyhow!!!!!This u mentioned is not a good source of sports news anyway...!!
Anyway labda Flamini ataweza ila tusubiri vipimo vya ukweli, Man U, Man City na Chelsea. Bado squad iko weak in general in terms of number, tumefanya clearance kubwa sana ya magarasa na nili expect tungesajili world class striker coz sanogo is still learning his trade, Giroud anahitaji msaada pale mbele. Pia nilikua nategemea kuona CD mmoja manake as you have seen recently tunatumia Sagna kucheza kama beki wa kati, injuries na suspensions zitakwepo siku zote so we need enough cover. Pia nlitegemea kuona kipa atakayemchallenge Szczesny.
CB,GK na attacker vipi babu????
ozil unakwenda huko...
mwanakwetu halahala, hiyo nyumba ya msela, haina vikombe wala bilauli.
Anakula kwa Mama Ntilie, anaoga choo cha kulipia stendi.
Kama huamini nenda kwenye kabati lake uone mavi ya Mende yalivyojaa.
We jishaue tu
......quality guys, quality!....
Quantitative is not a Qualitative score!
Spuds wamesajili wachezaji weeeengi, results je?
Squad yetu ipo sawa, FA cup na Capital One kina Gnarby, Ryo Miyaichi, Park, Bendtner na Zabalalen watacheza!
January dirisha dogo tutazibia viraka...
Nadhani tunaitajika hata kuridhika na tulichopata maana nani alijua surprise ya babu wenger ni kutuletea Ozil tena kwa £ 42.5M ? Ukweli kwa sasa sio wakati wa kuokoteza wachezaji kwa timu kama Arsenal na ndio maana alimtaka Suarez mpaka alipoona Liverpool watamchelewesha ndio amemchukua Ozil kwa kuwa ni kama Bergkamp mpya,kwa kumpata Ozil tumefungua njia mpya kuwaleta wachezaji wazuri pia angalia suala la mshahara nao wachezaji hawatakiwi kupishana sana kiasi kwamba unaweza leta mgomo wa chini kwa chini nadhani babu anachotakiwa kuangalia ni suala la mishahara kwa wachezaji atakaowaleta na wengi wanataka mishahara mikubwa,kama uliangalia mechi na Tottenham tulimkosa mtu kama Ozil kuweza kumalizia ile mipira na kupata magoli mengi,na tushukuru kumpata Flamini kwa kweli amecheza kiungo ile ya Song maana tatizo la Arsenal lilikuwa ni Kiungo mkabaji anaejua kazi yake tuseme ukweli Ramsey na Arteta walikuwa wanajitahidi lakini sio kama anavyocheza FlaminiDaah! Babu naona kaamua kupotezea lakini ukwel kuwa kulikuwa na umuhimu mkubwa sana wa kusajil CB na mshambuliaji mmoja wa kumpa changamoto Giroud.