Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wameingia mitini.

Hawa wenyeji wa hapa huwa wanaonekana sana kama mambo yakienda vema vinginevyo ndo kama hivi wageni tu ndo tupo hapa.Ila wapo wanachungulia kwa mbali sana.
 
AW Traore amecheza vizuri ila amefanya makosa mara kadhaa, ni uzoefu mdogo. Kama tungalicheza na Chelsea basi tungeumia vibaya sana, marking na position(kujipanga) yake ni mbovu, goli tumefungwa kwa vile Campbell alikuwa free (angeweza hata kufunga mwenyewe) licha ya kumpasia Bent, Traore alipaswa amkabe.
Pia kipindi cha kwanza alikuwa akimpoteza Steve Malbranque mara kwa mara, Malbranque alikosa nafasi za wazi mbili akiwa peke yake? (alipaisha mashuti) wapi alikuwa Traore? Unajiuliza jee kama Anelka ama Lampard wanapata nafasi za chee kama hizi alizopata huyu Malbranque sijui itakuwaje.
 
jamani Arses, karibuni kwenye ile wodi ya majeruhi (casualty) - sie wenzenu liverpool tuko huku wiki ya kumi aisee, sijui tutatoka lini...afadhali nyie wiki moja tu!!!

Naskia Manure na Scums bado wako kwenye zile mbio za magari
 
watu wa ajabu kweli.wanasema tumekimbia wakati wanaona kabisa comments zetu baada ya game sasa mlitaka tuwasubiri tu humu mpaka mpate mda wa kuweka comments zenu?
 
ni kweli kwenye mechi ya chelsea i will prefer silvestre even over gibbs.gibbs game kubwa nae ana presha sana si unakumbuka champions league tulivyo cheza na man united kaenda kuteleza bila sababu? watoto wote wawili hawa gibbs na traore wana more attacking mind kushinda defending mipigo ya kina glen johnson.watakua na kujirekebisha makosa yao.the midfield cost us the game i think.
 
jamani Arses, karibuni kwenye ile wodi ya majeruhi (casualty) - sie wenzenu liverpool tuko huku wiki ya kumi aisee, sijui tutatoka lini...afadhali nyie wiki moja tu!!!
i hope hatutakaa mda mrefu hospital na kuruhusiwa mapema sio kama nyinyi ha ha ha.

sema mkuu nilikwambia ukatoe sadaka naona ukunisikiliza maneno yangu manake wewe sasa imekuwa mkosi kwako.
 
watu wa ajabu kweli.wanasema tumekimbia wakati wanaona kabisa comments zetu baada ya game sasa mlitaka tuwasubiri tu humu mpaka mpate mda wa kuweka comments zenu?

Yakhe hasira za nini tena? hehehe pole kwanza kwa kichapo, hao Red Cats walitaka kututoa nishai nyumbani wabishi kama washabiki wa Yanga. Kuna watu kama Mbu, Richard, BAK, Next Level wamekuwa MIA ndio ninao wazungumzia hao.
 
ha ha ha tushapoa mkuu.wale watoto noma sana na nilikua nina wasi wasi na game hile sana.wanacheza kwa kujituma sana sunderland na itawasaidia msimu huu.
 
Yakhe hasira za nini tena? hehehe pole kwanza kwa kichapo, hao Red Cats walitaka kututoa nishai nyumbani wabishi kama washabiki wa Yanga. Kuna watu kama Mbu, Richard, BAK, Next Level wamekuwa MIA ndio ninao wazungumzia hao.

Ha!hahahahahaaaa.....Eglypz.......wengine tulikuwa vekesheni mazee.......don't worry, tukiwa na harusi....vigelegele kama kawa.....msiba....lazima tuweke matanga.......! leo kwangu kesho kwako, sio?
 
Ha!hahahahahaaaa.....Eglypz.......wengine tulikuwa vekesheni mazee.......don't worry, tukiwa na harusi....vigelegele kama kawa.....msiba....lazima tuweke matanga.......! leo kwangu kesho kwako, sio?

Tik tik tak tik tak tik Nov 29 Emirates
 
Ngoja kwanza Arsenal ishinde au ipate sare tu kesho halafu tujiandae na Chelsea maana tukiwafunga Chelsea jumamosi basi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…