Tukishinda leo tunashika nafasi ya nne kwa wingi wa magoli tayari tuna goli 4.
Halafu tutakuwa tumewapita Man Utd.
Jumamosi ya tarehe 14 tutakwenda kucheza na Sunderland na tutachukua points zote 3.
Mipango ya washabiki wa Arsenal inafurahisha....eti tutakuwa tumewapita Man Utd!!!
Kwa hiyo kuwapita United with just 3 games played unaona ufahari?!?
Kweli Arsenal is also a wee club with wee plans!!
Tukishinda leo tunashika nafasi ya nne kwa wingi wa magoli tayari tuna goli 4.
Halafu tutakuwa tumewapita Man Utd.
Jumamosi ya tarehe 14 tutakwenda kucheza na Sunderland na tutachukua points zote 3.
Inaelekea unatoka katika familia ya wafugaji au ulishawahi kuwa mchunga Ng'ombe. Maana wachungaji ndo huwa wana mawazo kama yako akishakaa machungani anaanza kuangalia mifugo na kuwaza mwaka huu ng'ombe mmoja akizaa nitakuwa nao sita na mwakani mwingine akizaa watakuwa saba hajui kuwa kuna kufa
Tunahitaji goli la pili kumaliza mchezo.
So far timu yetu inatawala mchezo huku Cazorla, Ramsey na Rosicky wanamudu vema midfield.