Sawasawa Arshavin, Gallas na Sagna wote wanaonekana wamechoka Eduardo hakuwa na impact yoyote, Nasri nae bado hajarudi katika form, nilishangaa kwa nini Eboue hajapangwa kucheza kabisa?
traore kapiga game vizuri sana leo mkuu.kamchagua traore zaidi ya silvestre kwa ajili ya speed.silvestre angechemsha leo asingeweza kumudu kasi ya sunderland.tulipoaribu pale kati watoto mayai wanadondoka sana wakipigwa push kidogo.sunderland wanacheza mpira wa nguvu pale kati na wanauwezo wa kushambulia.afadhali denilson karudi atakuja kumsaidia song pale kati.
na tumepoteza chance chache za wazi tulizopata.kuweka ramsey,nasri,rosicky pale kati noma bora ya eboue ana nguvu.
Nimafurahia sana matokeo ya Sunderland kuliko ya Chelsea maana hapa kungekuwa na makelele ya keyboard! Arshavin, Cesc Frabegas, Denilson na wajinga wengine wa ze gunners